Nifanye nini kufuta kumbukumbu za matukio mabaya kwa watoto wangu?

Wewe ni mkorofi sana. Haiwezekani mme akupige pasipo sababu na kuishi na watoto wako lazima utawaambukiza tabia yako ya hovyo.
Unaweza nitajia sababu zinazo mpa mwanaume uhalali wa kumpiga mkewe??
 
Wewe ni mkorofi sana. Haiwezekani mme akupige pasipo sababu na kuishi na watoto wako lazima utawaambukiza tabia yako ya hovyo.
Acheni kumsema vibaya kama vile ninyi mnaishi sayari nyingine kwamba ayo matukio ya wanawake kupigwa pasipo kosa hamuyaoni.
Wanaume wangap wanapiga wake zai pasipo sababu za msingi akija kalewa ndan hapakaliki, akikorofishana mchepuko wake asira anaenda kumalizia nyumban, wengne wanaamin kumpiga mwanamke ndio kuonesha u-alpha ndan ya nyumba.

Na ata kama ni ukolofi unahisi kipigo na kutoleana kauli za kuuana ndio njia sahh ya kuumaliza?
 
I think I love you
 
Mateso ya utotoni hayasahauliki...ivo tu
 
Pole sana, kwa nini mnapigana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Mkuu huwa unaniacha hoi na comments zako, ni fupi halafu unavyo comment ni kama vile unahimiza watoto wadogo, mfano:
Pole sana, kwanini mnapigana?
Ngoja waje kukupa mwongozo!
Usirudie kumkaripia mtoto mdogo!

Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, sasa wanapigania nini...
 
Nimesoma huu uzi na nimegundua watu wengi humu wana Trauma lakini ni ngumu kujua na hawawezi kusema wazi lakini bado wanaumia kimyakimya.

Nashauri JamiiForums waanzishe jukwaa maalum la maswala ya afya ya akili tu, ushauri na matibabu na pia watu waweze kushare matatizo yao yanayohusu afya ya akili kama msongo wa mawazo, depression, anxiety na disorders nyingine.

Mtaokoa wengi wenye vidonda moyoni ukizingatia Tanzania haina mkazo kwenye maswala ya afya ya akili.

Maxence Melo
 
Pole sana mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…