Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

Sasa hapo atleast jina la akaunti lingekuwa kwa Jina lako ht kama umetumia nida na Email ya mtu mwngn kwa sababu ukifika wataangalia nida yako ww Kama inaendana na jina la akaunti, hapo atleast ingekuwa afadhali na nngekushauri uende usaili.
 
Yeah ni kweli ingekuwa afadhali kama ingekuwa ivyo, shukrani
 
Pole kwa changamoto iliyokukuta lakini ulivyofanya ni kosa kisheria ndugu yangu kwaiyo usisumbuke kwenda kwasababu itasomeka kama forgery na inaweza kukuletea shida wewe pamoja na huyo ulieomba kupitia account yake. Solve changamoto hiyo mapema ili kuepuka usumbufu wa badae. Pole ndugu yangu.
 
Shukrani sana ndugu nimekuelewa siwezi kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…