Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

Humu mitandaoni mna mambo ya ajabu sana,na hukera zaidi pale mwanaume anapojigeuza kuwa mwanamke yaani hakuna kitu kinanikera kama hiki.
 
Hiv inakuwaje mtu anakaa kabisa na kupigia mahesabu mali za mtu mwingine.........ndugu kama ndugu mna hakika gani kuwa hizo mali zote ni za huyo kaka yenu?! Eti asije kumuua ndugu yenu ww ndo upo kumlinda ona sasa umenza kumtamani awe mumeo ili urithi ww hizo mali 🤔
 
Hivi Kwanini wanawake akilini mwao wanaamini lazima tutatangulia sisi KUFA🤔
 
Me story ikishaanzaga mtu anajinadi eti nna maisha yake mazuri ,mara anafanya kazi kwenye kampuni kubwa ! Ooho ana maisha yake ni mtu mkubwa
🤣🤣 Nakuaga nshaona ni story za jaba hizi
Ana maisha mazuri na yupo kuvizia mali za urithi 🤣🤣, aki kuna binadamu waajabu.
 
Majanaume ya siku hizi yamekuwa maccenge maccenge Sana.
Ndio Nini Sasa hiki ?.
 
Afrika bado kuna Waafrika wengi sana
 
Aisee people are very sick,yaani sick beyond repair.

Maajabu haya,aisee
 
Tatizo nyie ndugu mna gubu sana, wew ndo wakumlinda kakaako na mali zake? soon huyo mke wa kakaako mtamfukuza na utazaa na ndugu yako.
 
Nyege zinakusumbua
 
Miaka 33, huna akili unataka kumpindua wifi yako! Kuna wanawake mna laana hata shetani anawaogopa.
Huenda unatamani hata kuingiliwa nyuma maana si kwa upunguani huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…