Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Kipato kizuri ni kipi?
 
Hapo nimeelewa moja tu, unamtamani kimapenzi kaka yako, haya mengine ni kutaka kutetea tamaa zako mbaya
 
Kule twitani kuna "we listen, we don't judge" ila hii...we'll definitely judge!
 
Japo hii ni chai, lakini hakuna tabu...

Ikiwa kaka Yako angekuwa anamsikiliza mkewe Kwa Kila jambo, wewe usingeendelea kuishi hapo, ungeshaondoka hapo siku nyingi...

Pia unapata wapi ujasiri wa kuwaza kumpenda kaka Yako, unamsaidizi?
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Pepo toka kwenye nyumba ya watu unamlinda umekua Mungu ww.
Familia za kiafrica kaka akishakua na mali ni shida.
 
Kumbe Ndugu mnaumia na mapenzi yao, ndio maana ukatamani kuchukua nafasi ya wifi.
 
Na mimi namtamani shemeji yangu dada wa mke wangu😋😋😋😋
Watu mmechizika aseh!!,,jiepushe kukaa nae karibu,ukimuona mfano anakuja sebuleni we ondoka,nenda chumbani kalale au toka nje katembee,tembee uko,ili kuepuka vishawishi.
 
FB_IMG_17337482854464793.jpg
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
ptuuuh[emoji25] mbakasya!!
 
Njoo tuanzishe familia, achana na familia za watu mali zinatafutwa.
Njoo PM unaweza ukawa mwanzo wa kujuana
 
Heeeee, kapange bwege mkubwa wewe, unamtamani kaka yako, huna akili.
 
Back
Top Bottom