Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

Na mimi namtamani shemeji yangu dada wa mke wangu😋😋😋😋
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
upo honestly genuine ila usivuke mipaka tu
 
Mpaka hapo wewe ndio unahatarisha maisha yao.
 
Pumbavu kabisa!
Mawifi mna kiherehere sana kumbe mnawataka kaka zenu kimapenzi ndio maana hampati wanaume zenu mnaanza leta usumbufu kwenye manyumba ya wenzenu.....we linda hapo mpaka uzeeni ila kaa ukijua mali ni za mke na watoto sheria imeshaliweka wazi hilo suala
 
Wee mpee mbussusu yako atamuacha tuu huyo mke wake.
Hio ndio njia pekee ya kubakiza mali kwenye familia. Changamka dada lah sivyo huyo mke wake ata mrestisha in peace kaka yenu.
 
Pumbavu kabisa!
Mawifi mna kiherehere sana kumbe mnawataka kaka zenu kimapenzi ndio maana hampati wanaume zenu mnaanza leta usumbufu kwenye manyumba ya wenzenu.....we linda hapo mpaka uzeeni ila kaa ukijua mali ni za mke na watoto sheria imeshaliweka wazi hilo suala
Kha! Hatari
 
The niger worked tirelessly to build an empire, you're busy staring at his wealth
ndugu wengine bana.
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Mmmh!! Tokana na maelezo yako,uenda kashaonja tunda,lkn samahani uenda nimeisi vibaya,,lkn nakushauri ondoka mapema hapo,uanze maisha yako,maana na wifi yako atakuisi vibaya,,na hivyo ndivyo ilivyo uwezi mwanamke tena ulokua kuendelea kukaa kwa kaka yako,.
 
Njoo ufanyiwe maombi,
Itakusaidia,
Njoo,
Njoo,
Njoo dada,
Njoo kaka,
Njoo,
Njoo mama,
Njoo baba,
Njoo,
 
Magonjwa ya akili ,
Utandawaz
Tamaa

Zote unazo
 
Ampe mbususu kaka yake ili alinde mali za familia. Huyo mkewe atakuwa kamloga kaka maana wake zetu wanaturoga sana
Yaani ndugu wa mume jau sana,hawapendi kuona amani kwa mwanandoa utasikia kamroga
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Sisi tukusaidieje sasa?
 
Huu mtindo wa kuanzisha nyuzi zinazokera watu ni mpango wa siri wa kusababishia watu BAN? Hata kama ni chai inakuwa vigumu sana kutotukana.
 
Back
Top Bottom