Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Yale mabila ya juu kule karibu na kenya
 
NOTE:
ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi .

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua.

huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi.

Tulio soma cuba,iyo stori yako inafikilisha sana .

Lkn ok.nenda kwa mwamposa kapake mafuta .
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
njoo inbox nikupe akili
 
Mashetani ndio haya sasa, tunaishi nayo nyumba moja, wengine ni ndugu na wanaweza kukuharibia kabisa maisha, shetani kabisa wewe.
 
Familia za kichawi utazijua tu na yenu ni moja katika hizo
Ushetani umewajaa
Eti wanakukatalia kuondoka ili uchunge mali
Kumbe wewe ndio mchawi mkubwa
Acha watu waishi maisha yao na wewe katafute yako la sivyo mwisho utamuuwa huyo wifi yako
Stori zingine mpaka kichefuchefu
 
Hahaha, hii inanikumbusha Game Of Thrones kati ya the lanisters Cersi na Jamie. Na ile intro Ngi ngi ngingingi ngingingi[emoji445][emoji445]

Acha uduwanzi.
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Unapepo la ngono kama siyo uroho wa Mali! Toka haraka hapo kwa kaka yako nenda kajitegemee!
 
The only advice I can give you is that, you better not listen to your relatives nenda kaanzishe maisha yako utengeneze msingi wako na maisha yako ya faragha. Hapa utaua ndege wawili kwa wakati mmoja 1. Utajijengea kujiamini na kutunza faragha yako privately 2. Utazikimbia hisia za kimapenzi juu ya kaka ako, emotions hujenga reactions na ikija kugundulika unamzimia kaka ako utakuwa umetengeneza kitu kibaya sana kwanza kwa wifi yako (bakora ya kukuchapia) na kuporomoka kwa heshima yako kwa ndugu zako.
 
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!

Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.

Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.

Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.

Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.

Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.

Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.

Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!
Kumekucha 😂🤣
 
Kwani wanaume wameisha hadi unamtamani kaka yako? Hata hivyo, kama unatoka kwenye vile vikabila vinavyoendekeza kupandana ndugu kwa ndugu, sioni ajabu. Maana, wapo wengi wanagegedana na kuficha heri wewe umeweka wazi.
 
Muonjeshepo tu hiyo mbususu,kwani si yako na wala huilipii VAT?
 
Msaidiani kaka yenu maana tayari huyu mwanamke mchezo ashaumaliza na anasubr cku zifike tu. Maana hakuna mwanaume aliye timamu aone mke wake akizarau ndugu zake mpaka mama ake mazazi kabc halafu aendelee kumpenda huyo mwanamke la sivyo upendo ungechuja au kutafuta njia ya kuachana nae kabc huyo mwanamke, tafuteni mbinu ya kumsaidia huyo kaka yenu yeye tayar hapo alipo hajuwi kinachoendelea kwa xaxa na ndiyo maana kila jambo anakuwa upande wa huyo mwanamke kashaumaliza mchezo huyo mama, ipo siku mtalia ukoo mzima na hukubaliani chochote mtakachokipata mali zote itakuwa sehemu ya huyo mama na hamtakuwa na sehemu ya kumpeleka mama atakuwa na ushahidi wa kutosha na ndg yenu ck hyo hatakuwepo tena. Kingine mkuu tafuta mwanaume acha tamaa na kaka yako hata ukiendelea kumtaman kaka yako hatakuowa wewe, pia umri wewe unazd kwenda miaka level ya miaka 30 so mda utafkia level ya 40 na huna mme pia ww kwa kaka ako so kwako hata ulithi huwez kupata hapo, toka hapo lizka na kuwa na mmeo na wewe uwe na kwako achana na mawazo ya ndg zako ya kulazimisha kuishi hapo, huyo mwanamke akiamua kumuuwa huyo kaka ako hata kama ww upo anamuuwa tu hiyo wala so shida kwake na pia kama ana nia hyo atafanya tu, wewe kuwa hapo ata so shida kwake. Umri unazd kwenda cku ukianza kuitwa bibi ndo utaelewa xaxa halafu huna mbele wa nyuma, huna familia wala mme na kwa kaka ako huna chochote maana ata mali huwez kulithi ww mama ww so mtoto wake, hapo umeenda kuingilia maisha ya watu .
 
Back
Top Bottom