Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Mkuu ni wazi kuwa huyu mwanaume Malaya mbwa..pengine hata kurudi nyumbani mapema ni kitendawili.sasa ili tusikwaruzane…ninajipenda mimi kwanza..

Kama ni mtu wa kurudi usiku mwingi,ndio kabisaaa..nitoka zangu huko naenda kuhave fani vizuri sana..narudi mapemaaa kabla hata yeye hajarudi nyumbani napata nafasi ya kumuandalia chakula mume wangu kama mke.lakini nitatengeneza mazingira ajue kuwa nilitoka na nikarudi bila kumwambia.(kama ni viatu,Sijui mkoba au nguo niliyoivaa anaviona kuwa vilitumika.ninahakikisha situmii kilevi chochote kile kwa kipindi choooote hicho nilichoamua kutafuta furaha ndani yangu)

Ikimuuuma saaaana na kuniulizia nilienda wapi!jua sindano imeanza kumuingia(umalaya wa kiwango cha huyu jamaa ni wazi kuwa hajali)so kipindi kingine naongeza dozi mara tatu zaidi ya paleπŸ˜€πŸ˜€akibahatika kuniuliza tena basi hakika kuna ki tu kipya kimemuingia na ameanza kujaliπŸ˜„.wakati mwingine tena hivyohivyo…so kama kweli kajali basi kaumia na atatafuta namna awahi kurudi nyumbani mapema kabla yangu ili ajue huwa naendaga wapi au nilikuwa wapi.akiyafanya yote hayo tayar mwanakondoo kaanza kurudi kundini πŸ˜€πŸ˜€taratiiiiiibu kabisa tu naanza kuijenga familia.

Hakuna muda wa kupigana vijembe huko status bila sababu ya msingi mara ohoo utanikumbuka Sijui vikapanda vikashuka πŸ˜€πŸ˜€off coz atakukumbuka πŸ˜€πŸ˜€si alikuoa bhana…mkazaa na watoto,,so kukukumbuka hiyo ni obvious πŸ˜…πŸ˜….


Mwanaume mpigaji si wa kumvumilia kabisa Kwa karne hii..hakawii kukutia ulemavu napinga vikali mno.

Ila mwanaume malaya halafu anatimiza majukumu Yake Kwa familia…hapana sikuachi cha muhimu tunakubaliana tu” baba naona umekubuhu kwa umalaya sasa mimi na wewe kupiga game hapana kwakweli” unafunga ukurasa mnaelea watoto wenu safi kabisaπŸ˜„πŸ˜„

*************************************
Yote haya yanawezekana kama tu mwanamke anakipato chake mwenyewe.anajua kuitafuta pesa Yake mwenyewe.vinginevyo basi yatakuwa ni mateso.
 
Kufanya kosa hakusahihishi kosa lililotangulia,isipokuwa mume wako anaweza akahukumiwa na wema wako kwake na kujiona kuwa ana kukosea anapochepuka na wanawake wa nje.
Kiini kiko hapaπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Kuwa na watoto hakumaanishi ushushe utu wako na thamani yako kama mwanamke. Mume anafiki kiwango cha kugegeda ndugu zako wee bado unabaki kwa kisingizio cha watoto. Huo ni ujinga.
Kuna tofauti Kati ya kushusha utu na kuwa mnyenyekevu kamanda.asimame kama mke kuikomboa familia yake.mume sio mtu pekee anaeleta furaha na faraja katika familia kuna watoto jamani.kama mwanaume huyu ana hili…mwingine analile..

Hebu imagine anaachana na mume wake anakuja kukutana na wewe mzabzab πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Halafu Bado mnatuambia tuoe ndoa zenyewe ndio kama hizi ,!?

Sasa hapo sibado kuwekean sumu tu muuane
 
Ushawahi kuona/kusikia ama kufanya maongezi na mashoga zako ama kuwasikia wa2 tu katika pitapita zako wanawake mnapiga/wanapiga soga ya kuwa mtu fulani amekugegeda, amegegedwa kisha mkiwa mnajisifia?

kitulize kidude chako nyumbani utakuja kupewa zawadi ya magonjwa bure maana mwanamke anapokea magonjwa kiwepesi kuliko mwanaume
 
Mwenzio ana chepuka ndio hobby yake [emoji16] yaani ana enjoy na ndio sehemu ya maisha yake mean while wewe una chepuka kwaajili ya kumlipizia hapo Sasa kazi unayo

Maana utazidi kuteseka na kuteseka tena cuz umalaya sio Chaguo la matendo Yako ktk maisha na kwanini usiachane nae yaani Kwa Nini muishi maisha yaliyo jaa tabu kiasi hicho kiasi kwamba mnajikaribishia mstari wa kifo Kwa matendo yenu wenyewe hayo ndio maisha Gani Sasa !?
 
Kwani hao ndugu zako wanabakwa? Acha ukingo tuliza mbususu nyumbani mwisho utaliwa kaduara kama hakajaliwa ukizani unamkomoa mumeo lakini inaonekana hata wewe ni mzoefu na kahaba uliyekubuhu.Malipo hapa duniani kuwa mpole dawa iingie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732] ila humu dah!! [emoji119]
 
Eti unauza bunduki una nunua rungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Nawasubiri wale Me wapumbavu wanaosemaga kila Ke hupenda Me mwenye Ke wengi kingono yani "competition" waone jinsi gani Ke wanavyoumiaga kusalitiwa na sisi Me wakiwa kwenye ndoa [emoji30][emoji2960]
Sio. Wapumbavu wanawake wengi wako hivyo Nina mpaka evidence juzi tu nimetoka kuona kesi kama hizo mbili ,

Kuna wanawake wapo na toxic boys Wana waburuza Ile mbaya but still wapo nao tu na Wana wapenda mpaka basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hallelujah πŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Chonga njama na watu wawavamie ucku afu wambake mmeo huku wewe ukishuhudia
 
Mara nyingi Huwa Iko hivi ijapokuwa sio Kwa watu wote ,

Huyo jamaa alikuwa hajui kuwa mkewe na Yeye Nyota zako valid so akashindwa kutambua umuhimu wake
 
Huna sifa za kuwa mke, ndoa ni uvumilivu na subira
 
Namba 3 & 4..mkuu you nailed it πŸ“ŒπŸ“Œ
 
Mpuuze
Usiondoke
Jipende
Fanya yanayokufurahisha
Usitoe unyumba
Jali familia kiujumla

Subiri hadi siku utampenda mtu mwingine ndio mfanye yenu
Na iwe siri tu wala usipanie wala usimuonyeshe
Lengo ni kusuuza moyo wako na kurudisha furaha yako...

Ukiacha kumfuatilia na kuwa na furaha ndio yeye ataanza kuumia
 
Right and available person ya nioo....

Utadhani wanaokotwa barabarani kirejareja


Muda mwingine suluhu sio kuachana bali kuboresha mtizamo
 
Umeandika uongo tupu.
 
Tena akikutana na mtu kama mie mzabzab mbona ata enjoy. Maana mie sina siasa naongea ukweli wa mambo.

Huwezi kuwapa watoto furaha wakati wewe mwenyewe huna furaha. Hilo nakataa kabisa. Pili kuna suala la magonjwa...huyo mumeo akiukwa huko unadhani atakuacha hivi hivi lazima akuambukize so hapo madhara tena kwako na watoto.

Tuwe wakweli wanawake wengi hawaondoki kwenye ndoa zao kwa sababu ya utegemezi kwa mume period.
 
Unataka kujichanganya dada angu sumu haionjwi,

Nasema hivyo kwasababu mwanaume malaya akimjua mkewake na akawa na udhibitisho patachimbika hakka

kama umeamua kulipiza endelea kupigwa mbususu haya mambo ya kutaka ajue unatafuta mambo mengne,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…