Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Sijashauri aondoke hapo nyumbani kwa ajili yeye kwenda kufamya umalaya hapana.
Nnachosisitiza ni kuwa akiwa mbali na huyo mwanamume itamuokoa yeye katika hatari ya magonjwa ya zinaa.

Kuendelea kukaa hapo nyumbani inamuweka kwenye hatari zaidi ya kuumwa.

Umalaya sikuzote una mwisho mmoja magonjwa?

Hata awe anampenda vipi lakini huyo mwanaume ana uwezo wa kujifikiria pale akiona huyo mke yuko mbali kidogo saiv anamchukulia simple kwa vile anajua hawezi ondoka.
 
Mchepuko wako ndiyo yule Kingsmann
 
Una maanisha akaishi pekee yake sio?

Huko anakoishi hatakaa atombane na mwanadamu yeyote?Ni lazima atatombana tu....guarantee huyo atakaemtomba hana gonjwa anapatia wapi?

Kama hoja ni kwamba unaogopa magonjwa na hutaki gonjwa,kwanini usiwe unavaa kondomu 100% wakati unatombana na huyo mume wako "malaya" unaetaka kumkimbia?

Kama hoja ni magonjwa kweli,suluhisho ni kondomu

Suluhisho sio eti wewe kubadili nyumba ukakakaa mtaa B kutoka mtaa A....maana huko mtaa B pia kuna wanaume utatombana nao upende usipende,nini cha maana umefanya sasa?

Kama kondomu hutaki basi pimana na huyo mtu kila siku ya tendo,otherwise shona kvma isiweze kupitisha mb.00 ya aina yeyote basi
 
Reactions: EEX
Huyu mwakilishi wetu ,akijua kama unachepuka umeisha ,waweza kuachwa hapo,Sasa vile ukiachwa chanzo chako Cha mapato na urembo kitapungua ,utakuwa mtu wa mizinga Kwa huyu bwana mdogo mpya anayepigapiga saizi ,naye atakukimbia ,halafu utarudi Kwa mumeo kuomba msamaha mlee watoto ,[emoji1787] anaweza kukukataa vilevile
 
Congrats.Very well
 
Kumbe vifo huwa mnavitafuta, eh!! Hata wale wanaopigwa risasi au mapanga kwa wivu wa kimapenzi walianza ivi hivi.
 
Raha ya kuchepuka..Chepuka coz unapenda na si kwa sababu unataka kukuumiza mtu
 
Kwan
Kwani kulea watoto pamoja ni mpaka muishi wote. Mbona ndoa nyingi zinavunjika na wanashirikiana kulea kiroho safi tu.
 
Kwan

Kwani kulea watoto pamoja ni mpaka muishi wote. Mbona ndoa nyingi zinavunjika na wanashirikiana kulea kiroho safi tu.
Mmh

Labda definition ya kulea "watoto pamoja" yako inatofautiana na yangu

Definition yangu ni kwamba "kulea watoto pamoja" ni kulea watoto baba na mama wakiwa wanaishi pamoja

Unachokisema wewe ni "parental visits"

Au usikute una confuse na "kutuma pesa za matumizi"....hiyo sio kulea...hiyo ni kutuma ujira kwa shughuli zinazofanyika kwa hao watoto na sio kulea

Nadhani Tanzania neno "kulea" tunalitafsiri kimasikini sana....kulea "sio hela za matumizi" ndugu...ni 100% presence of parents 24-hours a day!
 
Co parenting ndio nazungumzia. Watoto wanakuwa na acesss na wazazi wao. Ni kukubaliana tu muda gani watakaa kwa nani.
 
Piga picha ukiliwa kwa mpalange halafu mtumie hizo picha,utakuja kunishukuru.
 
Yaani huyo anaeweza kuchepuka akose mtu wa kumuoa kweli?

Mume anayetembea hadi na ndugu zako,ushajaribu kutafuta suluhu wee huyo ni wa kuboresha mtazamo kweli?
Inategemea na familia yako mmefika wapi
Kuna baadhi ya familia ts not worth it kuachana
Heri kuchepuka tu upoze roho
 
Njoo nikupakue vizuri Sana haafu usiweke password kwenye simu ili aone unavo Kula koni ki 5G
 
Best unataka kuchomwa na moto?
 
Unapatikana wapi?

Nitafute
 
Co parenting ndio nazungumzia. Watoto wanakuwa na acesss na wazazi wao. Ni kukubaliana tu muda gani watakaa kwa nani.
Hahahahaaaa

Hiyo si "tunalea pamoja"

Hiyo ni kulea kwa awamu

Na Afrika hilo halipo,mwenye nguvu ambae ni baba awataifisha watoto wote na sheria inatambua hilo

Wewe utapewa "visits" na watoto tena ubahatike awe na roho ya kiungwana kuwaruhusu

Otherwise anawapiga pini hakuna kwenda popote na hutakaa uwaone,labda uwavizie barabarani au shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…