mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Sijashauri aondoke hapo nyumbani kwa ajili yeye kwenda kufamya umalaya hapana.Whats the better option?
Maana ukimwi unapatikana popote tu....huyo unaekutana nae mpya unadhani ni mpya unajidanganya tu,sio mpya....akapiga bao moja kavu ikawa ndio ukimwi tayari
Ukimwi ni probability,umalaya unafanya probability inakua kubwa zaidi lakini sio eti wewe hutapata
Kama malaya,tombana nae kwa kondomu ndio 100% guarantee....
Maana huko unakoenda nako wana dhania ya ukimwi kama huyu uliemuacha maana wote ni wanadamu wale wale
Labda muache halafu usikae utombane na mwanadamu wa aina yeyote ile kavu basi...
Bado hujanipa hoja ya maana ya kumuacha huyu unasema ni "malaya"ki
Nnachosisitiza ni kuwa akiwa mbali na huyo mwanamume itamuokoa yeye katika hatari ya magonjwa ya zinaa.
Kuendelea kukaa hapo nyumbani inamuweka kwenye hatari zaidi ya kuumwa.
Umalaya sikuzote una mwisho mmoja magonjwa?
Hata awe anampenda vipi lakini huyo mwanaume ana uwezo wa kujifikiria pale akiona huyo mke yuko mbali kidogo saiv anamchukulia simple kwa vile anajua hawezi ondoka.