lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Sina kabisa.., wewe?Mkuu,
We huna wivu mkeo akichepuka?!
Utaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?Jiulize swali atakaa tu aumie kwa maumivu kaa ukijua akifa faraja kwa watoto wake ni yeye sio mume siku zote . Kwa hiyo maisha ni magumu sana sana .
Achana na maisha ya ndoa sijui kama umewahi sijui kukaa na mwanaume kwake nanikila siku ila hakuoni upo anakutumia kama malaya wengine .
Nausije ukaona ni poa unamuhangaikia mtu asiyekuhangaikia hii kitu iliniumaga sana unakaa hadi asubuhi kwenyw kochi mtu hatokezi anakuja kutokeza saa nne asubuhi kalewa njwi .
Wewe mwanamke ukiwa na malaya wa sampulii hizi za huyu mtu unatamani ardhi ipasuke .
Usiombee uishi na mtu malaya .
Safi sana, ngoja tuangalie namna ya kuyapata haya material.😂Mie wife material sema sipendi show off
Sasa hivi yupo kwenye mateso sana yawezekana asipate cha kujifunza kile ambacho akili na mawazo yake inamategemeo ya kukipatadada umemaliza kila kitu,akifata ushauri huu atakuja kukushukuru badae,
Bonge la komenti, JF sasa hivi imejaa wife materials tu, vijana washindwe wenyewe... siungi mkono vitendo vya uzinifu, tuungane kuvipiga vita.Utaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.
Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.
Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.
Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.
Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.
Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?
Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.
Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako
🥂🥂
🤸♀️🤸♀️
Asante mkuu.😊😊Bonge la komenti, JF sasa hivi imejaa wife materials tu, vijana washindwe wenyewe... siungi mkono vitendo vya uzinifu, tuungane kuvipiga vita.
Neno Sana cuteUtaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.
Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.
Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.
Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.
Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.
Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?
Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.
Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako
🥂🥂
🤸♀️🤸♀️
Kumbe umechangia from theories..😂😂 ngoma ingia ucheze ndio uje kuchangia.Asante mkuu.😊😊
Ni ndoa ndio zimekuwa adimu ila material tunayo.🤣🤣🤣🤣
Kaliwe jicho... Then ajueNimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Kaa Kwa utulivu mkuu maisha ni fumbo zito😅😅hatari sana.Kumbe umechangia from theories..😂😂 ngoma ingia ucheze ndio uje kuchangia.
Haya mimi niko pale nimekaa.😂Kaa Kwa utulivu mkuu maisha ni fumbo zito😅😅hatari sana.