Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Msichana ni Kiumbe gani?
Mvulana ni Kiumbe Gani?
Mwanamke ni Kiumbe Gani
Mwanaume ni Kiumbe Gani
Mke ni Kiumbe gani kati ya hao wote walitangulia hapo Juu?
Mume ni Nani kiumbe gani kati ya hao waliotangulia hapo Juu?
Je Mchepuko ana Jinsi yoyote?

.....Akili Unazo!
 
Mumeo akijua unachempuka utaachika!!,tumia akili
 
kwenda hukooo
Msichana ni Kiumbe gani?
Mvulana ni Kiumbe Gani?
Mwanamke ni Kiumbe Gani
Mwanaume ni Kiumbe Gani
Mke ni Kiumbe gani kati ya hao wote walitangulia hapo Juu?
Mume ni Nani kiumbe gani kati ya hao waliotangulia hapo Juu?
Je Mchepuko ana Jinsi yoyote?
 
Kwa mujibu wa masimulizi yako inaonekana wewe haupo kwenye moyo wa mume wako, Kwahiyo mumeo anajaribu kufukia magap kwa kutembea na wanawake wengine ili kutafuta furaha lakini bado anakosa furaha anayoitafuta( ndio maana haridhiki na michepuko aliyoipata). Kitendo cha wewe kulipiza kisasi kwa kutafuta mchepuko ni moja ya njia za kujiangamiza wewe mwenyewe ( Kwasababu, unaweza kupata magonjwa ya ngono na UKIMWI).

USHAURI: Uwe unasali Sana ili MUNGU awape furaha ya ndoa yenu.( Kwasababu, hata wewe makosa uliyoyafanya yanaigharimu familia yenu, na inawezekana msiwe na umoja tena).
 
Mzalie mtoto nje
 
Hudhuria darasa hili au mtafute huyo Mariam
 
Unalalamika nn kama na wewe ushatoa?
 
Ushauri wako ni mzuri, anabaki hapo muda wote huo ni kuwa nasubiri magonjwa.
Mwanaume kama huyo ni kumuacha tu
 
Mbona swala dogo hilo ....we ukiwa na huo mchepuko wako ...wakati mnagegedana mjirecord afu mumtumie mange kimambi .....Hapo utakua umemuweza mume wako, wala usitumie nguvu nyingi

Muambie mange kwenye caption aandike hv

"MKE ACHAFUA HALI YA HEWA KUMKOMOA MUME WAKE" WAHI FASTER KWENYE APP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chepuka na mm afu ulete mrejesho baada ya siku3 nakwambia hutamkumbuka mumeo tenaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…