Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Mpotezee mchukulie kama ni limbukeni aliyeruka stage. Unaumia sababu unamfatilia, acha kabisa kumfatilia ikiwemo hata kukagua simu zake.
 
Usijali madame, huyu ni wangu, na mimi ni wake hamna kilichoharibika.

Unforgettable
 
Nipe miye shoo moja,utaona mumeo atakavyoumia
 
Muhimu anaweza akawa na shida za kiroho pia jaribu kuchek mabingwa wa kuponya magonjwa ya kiroho
 
Watamu na wanajua kuhidumia...kuachwa haiwezi kuwa rahisi wakati warembo wanalamba asali kwa waume za watu
 
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone
Mna Watoto? Acha ujinga Lea Watoto wewe!
 
Ushauri wako ni mzuri, anabaki hapo muda wote huo ni kuwa nasubiri magonjwa.
Mwanaume kama huyo ni kumuacha tu
Kabisa mkuu. Halfu wanaume wa aina hiyo wakiachwa huwa hawawezi kuendesha maisha yao na hawawezi kuishi na mwanamke mwingine. Mwanamke ukishaona mume wako anafanya ufuska kama huu ni kuondoka zako tu. Na hata akija kuomba msamaha usikubali kirahisi. Mwambie kila mtu aishi kivyake kwa muda kama wa mwaka mmoja au zaidi ndiyo mrudiane.

Na mkirudiana unampa conditions za muda mfupi na mrefu na unamwambia kabisa asipozitekeleza utaondoka kimoja.
 
Na akiumia tu,gunia mbili za mkaa zinahusika!
 
Tulia huko huko ndoani mama. ...hakuns mwanaume asiechepuka...utofauti ni kuwa wa kwako anafanya openly sana hadi unajua
 
Kuna gunia za mkaa ujue kuwa makini usitafute balaa acha balaa ikuje yenyewe....!
 
Hukuwa na maisha yako kabla hujamfahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…