Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Achia connection moja kaliii
 
mzabzab nafikiri hili ni jibu sahihi kwenye ile comment uliyoniquote hapo juu
Kuwa na watoto hakumaanishi ushushe utu wako na thamani yako kama mwanamke. Mume anafiki kiwango cha kugegeda ndugu zako wee bado unabaki kwa kisingizio cha watoto. Huo ni ujinga.
 

Kuna sehem unafeli, wanaume kuchepuka ni kawaida yetu, ukimwonyesha dhahiri unachepuka hauna ndoa, ama ataoa mwanamke wmingine na hapo ndo utaumia zaidi.
Nakupa akili nzuri sana dada yangu na mumeo ataacha maramoja kuchepuka.
1.jishushe kwa ke kupitiliza yaan miguuni kwake kabisaaaaaaaaa. Na umaanishe

2. Mpe mapenzi ya kweli kwa maana mhudumie kimwili na kiakili hapa ndobwanawake wwngi huwa wanafeli na wanaume huwa tunaumia na ili kubalance mambo huwa tunachepuka

3. Sali sana tena kwa kumaanisha, binafsi huwa sisali ila namwamini na ninamwogopa sana Mungu ila siamini katika madhebu japo nina dhehebu langu ambalo ni muumini.

4. Chagua maneno ya kuongea na mumeo, mpigie simu mara kwa mara, mwite majina mazuri, baba na mengine mengi tu. Na mpe nafasi ya kwanza katika kila kitu chako unachofanya.

Hata kama umesafiri hakikisha mda wa chakula ukifika mpigie sim mwambia baba chakula tayari, baba nenda kalale nimeshaandaa kitanda huku ukiwa umemwagiza beki tatu kufanya yote hayo, and akiwa kazini mkumbushe muda wa kula.

Nakuhakikishia ayaacha na atabadilika
 
Tombna nae Kila siku,hata akidai kuwa amechoka mlazimishe akukamue. Mkatikie Sana tena Sana kama hauwezi kukatika fanya mazoezi ya kuzungusha nyonga kweli kweli. Jitahidi Sana narudia tena jilazimishe awe anakutomb Kila siku utakuja kunishukuru
 
ebu jipende kwanza(kama unakipato chako)mama vaa pendeza sana,nukia,wikendi jipeleke sehemu nzuri nzuri kajichanganye hukooo..make sure haumpi taarifa yoyote ya wapi unakwenda.
Kwa hili kwenda tu mahali hasa weekends unamuacha nyumbani husemi unaenda wapi ni lazima utakuja kupigwa tu...

Hakuna kitu wanaume wanachukia kupita maelezo mwanamke aondoke nyumbani anamuacha hapo sebuleni hasemi anaenda wapi wala kuaga...kingine ni arudi home usiku akute hujarudi,halafu ukirudi usiongee chochote au kujieleza....lazima akupige tu

Kwa wanaume ukifanya kitu kwa ujuaji au kwa kutokusema au kujifanya man-alone wao wanatafsiri ni kiburi na dharau,na response yao on these ni fujo mostly.

Hizi fujo zote utaziweza kweli ndugu?
 
Wanaume ni wale wale ndugu

Genetically,kitabia,etc are mostly coherent....

Kujitoa kwa huyu na kujiweka kwa yule unafuu sio mkubwa sana kama unavyofikiri

Huyu malaya,ukamuacha ukaenda kwa yule asie malaya,ukakuta jinga kabisa hata kutafuta hela ya ada ya watoto hawezi,na wanawake hawasamehi ukijnga kama huu....still mateso yale yale ni versions tu

Wanadamu ni wale wale....unaweza achika,then tumaini la kupata mwingine likaishia hewani

Soko la mwanamke alieachika kupata mume tena ni mathematically impossibility ndugu....shida watu wana emotions too much wanajisahaulisha reality

Swali ni jee,by default,maisha ya loneliness na macho ya jamii unaweza yadhibiti for the rest of your life as a woman?If you can then good for you.
 
Tombna nae Kila siku,hata akidai kuwa amechoka mlazimishe akukamue. Mkatikie Sana tena Sana kama hauwezi kukatika fanya mazoezi ya kuzungusha nyonga kweli kweli. Jitahidi Sana narudia tena jilazimishe awe anakutomb Kila siku utakuja kunishukuru
🤣🤣🤣 Anatakiwa mume akirudi toka job tayari anamkuta mbususu imeshalowa....tumie mume text sexy sexy kuwa anasubiria de libolo lake kwa hamu
 
Ebu weka picha
 
Ushauri mzuri sana mkuu
 
Tambua ndoa ni mzigo/ msalaba mzito.
Mwenzako wa ndoa ni msalaba mzito.
Shetani yupo kazini kuzivunja ndoa hizi kwa kuwakamata wanandoa, ndio maana nwanaume aliyeoa ni rahisi sana kupata mwanamke/ wanawake wengine.

Ndio maana mwanamke aliyeolewa ni rahisi pia kuchepuka, lengo la urahisi huo ni mpango mkakati wa shetani kuzipiga ndoa.

Hivyo silaha pekee nikupiga magoti na kumlilia Mungu .
Pray Pray Pray
 
Hizi ndoa daah, Changamoto sana ase!
 
Kufanya kosa hakusahihishi kosa lililotangulia,isipokuwa mume wako anaweza akahukumiwa na wema wako kwake na kujiona kuwa ana kukosea anapochepuka na wanawake wa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…