Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota?

Kafanye laser treatment. Sifahamu kama Tanzania wanafanya. Nimeona nje ya nchi kwenye matangazo, watu wanaenda kutoa ndevu na nywele zingine (hahahaha).
 
Nunua oestrogen uwe unameza. Ila ukiota chuchu mi simo!
 
Kabadili jinsia

 
Yes, ni hormones.

Lakini inawezekana ana elevated levels za testosterone.

Ndo maana ana ndevu nyingi hivyo.

Laser hair removal will do the trick.
Kwahio sie wenye ndevu kama uvuzi uvuzi hatuna testosterone nyingi eeh?
 
Kwa hiyo unataka kumaanisha hedhi ni dawa??


Yes, ni dawa ya kuwindia wanayama porini na pia ni dawa ya kuzuia ndevu kuota na hata ukitaka para la nguvu paka hedhi kichwani kisha nyoa baada ya dakika kama 5 hivi....utaona para linamelemeta kinoma na nywele kuchelewa kurudi.
 
Aiseee
Yes, ni dawa ya kuwindia na pia ni dawa ya kuzuia ndevu kuota na hata ukitaka para la nguvu pak hedhi kichwani kisha nyoa baada ya dakika kama 5 hivi....utaona para linamelemeta kinoma na nywele kuchelewa kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…