Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,438
Nilichogundua kwa mleta mada anaogopa kumpeleka kwenye vyombo vya kisheria akihofia mtoto aliyezaa na Jamaa
Huyo mtu ni Hatari sana. Kuwa naye makini. Ni ile aina za watu wenye wivu mkali sana, kiasi hata cha kudiriki kukuua na yeye mwenyewe kujiua.. Ana tatizo la akili pia, hata kama wamwona yuko sawa but believe me, ni mgonjwa wa akili.Salaam WanaJF,
Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza kusimama tena, kujijenga na kuendelea mbele. Shukrani za dhati kwenu wanaJF – kuanzia uongozi hadi wanachama wa kawaida.
Wito wangu: msibeze uzi wa mtu anayeomba msaada. Hamjui yuko katika hali gani kiakili au kihisia. Si kila mtu ana ndugu wa karibu, marafiki au majirani wa kuongea nao. JamiiForums kwa wengine ni kama familia ya mwisho ya kusikiliza.
Narudi kwenye mada kuu...
Yule mwanaume aliyebadilisha maisha yangu kuwa machungu, alikataa kunipa talaka. Nilijikuta katika maisha ya sintofahamu – sijui kama bado ni mke wa mtu au msela. Aliniacha nikiwa mjamzito na mtoto wake. Hata baada ya mtoto kuzaliwa, hakutoa msaada wowote. Nilijitahidi kuvumilia, nikavunjika moyo, lakini bado niliendelea kuwa na matumaini.
Hatimaye niliamua kumwambia: naomba talaka. Nilikuwa tayari kuwa single mom – japo najua kuwa kundi hili nchini linaonewa na kubezwa mara nyingi. Lakini yule mwanaume alikataa katu katu kuniacha. Hakuwa mume wala mlezi.
Baada ya afya yangu kuimarika (nilijifungua kwa C-section), nilienda BAKWATA kudai talaka. Alipoitwa mara kadhaa alikaidi, lakini baadaye alipoona naendelea kusisitiza, alisema bado ananipenda, ila anaendelea 'kujitafuta'. Kwa sababu hiyo isiyo na msingi, niliamua kujivua mwenyewe ndoa ile, nikarudisha mahari. Ndipo alipopata hasira na kuwa mtu mwingine kabisa.
Akageuka kuwa kama kivuli changu.
Nilipofungua duka, alianza kuja kila siku, akikaa karibu ili kuniangalia. Akagombana na wateja wa kiume waliokaa muda mrefu, akifanya vurugu zisizoisha. Biashara ikaharibika — nikalazimika kufunga. Nilipoanza biashara nyingine, hali ikawa ile ile. Nikipata mchumba au mpenzi, anawinda, anampiga au anamfukuza kwa vitisho. Moja aliyejitokeza kunichumbia alimpiga vibaya sana, akamwambia akae mbali na "mke wake".
Nina wasiwasi hata simu yangu ameihack. Sina amani naye. Hana muda wa kutafuta hela za kulea mtoto wake, lakini ana muda wa kunifuatilia kila mahali. Amenigeuza mateka wa maisha yangu mwenyewe.
Ametoa maneno ya vitisho, na ninamwona kama mtu ambaye yupo tayari hata kuniua. Cha kushangaza, mimi ndiye niliyemuacha, kwa amani, nikamrudishia kila kitu, lakini yeye bado ana hasira kali kwangu. Familia zimeshamshauri sana – zote mbili – lakini bado habadiliki.
Naombeni ushauri wenu wanaJF.
Mtu wa aina hii, anayenifuatilia, anayevuruga maisha yangu, anayewatisha wanaume ninaokutana nao, na anayenitia hofu kwa maisha yangu na ya mwanangu — nimfanyeje ili aache kunisumbua kabisa?
Niko tayari kwa mawazo yoyote ya kisheria, kijamii au kiusalama. Asanteni sana.
Kamripoti kituo Cha polisi kwanza!!!Salaam WanaJF,

Tafuta masela wampe kichapo cha haja,again ni Bora uhame site uliko,kama uko mikoani hamia mkoa unaoupenda na badili mwenendo wako kabisa usipende kuingia anga zake,pia kwanini unateseka kwa kufungua biashara maeneo alipo,nenda away,jitahidi kuwa na social distance na upewe wallant ya kuzia yeye kuwasiliana na wewe apewe na polisi ili atulie,sii vizuri kupambana na kivuli,jingine acha matumizi ya simu kwa muda hata wa mwaka mmoja ili Uishi kama zamani inakuwa Ile kitochi na ya mezani ya ttcl,hawezi kuifuatilia.Salaam WanaJF,
Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza kusimama tena, kujijenga na kuendelea mbele. Shukrani za dhati kwenu wanaJF – kuanzia uongozi hadi wanachama wa kawaida.
Wito wangu: msibeze uzi wa mtu anayeomba msaada. Hamjui yuko katika hali gani kiakili au kihisia. Si kila mtu ana ndugu wa karibu, marafiki au majirani wa kuongea nao. JamiiForums kwa wengine ni kama familia ya mwisho ya kusikiliza.
Narudi kwenye mada kuu...
Yule mwanaume aliyebadilisha maisha yangu kuwa machungu, alikataa kunipa talaka. Nilijikuta katika maisha ya sintofahamu – sijui kama bado ni mke wa mtu au msela. Aliniacha nikiwa mjamzito na mtoto wake. Hata baada ya mtoto kuzaliwa, hakutoa msaada wowote. Nilijitahidi kuvumilia, nikavunjika moyo, lakini bado niliendelea kuwa na matumaini.
Hatimaye niliamua kumwambia: naomba talaka. Nilikuwa tayari kuwa single mom – japo najua kuwa kundi hili nchini linaonewa na kubezwa mara nyingi. Lakini yule mwanaume alikataa katu katu kuniacha. Hakuwa mume wala mlezi.
Baada ya afya yangu kuimarika (nilijifungua kwa C-section), nilienda BAKWATA kudai talaka. Alipoitwa mara kadhaa alikaidi, lakini baadaye alipoona naendelea kusisitiza, alisema bado ananipenda, ila anaendelea 'kujitafuta'. Kwa sababu hiyo isiyo na msingi, niliamua kujivua mwenyewe ndoa ile, nikarudisha mahari. Ndipo alipopata hasira na kuwa mtu mwingine kabisa.
Akageuka kuwa kama kivuli changu.
Nilipofungua duka, alianza kuja kila siku, akikaa karibu ili kuniangalia. Akagombana na wateja wa kiume waliokaa muda mrefu, akifanya vurugu zisizoisha. Biashara ikaharibika — nikalazimika kufunga. Nilipoanza biashara nyingine, hali ikawa ile ile. Nikipata mchumba au mpenzi, anawinda, anampiga au anamfukuza kwa vitisho. Moja aliyejitokeza kunichumbia alimpiga vibaya sana, akamwambia akae mbali na "mke wake".
Nina wasiwasi hata simu yangu ameihack. Sina amani naye. Hana muda wa kutafuta hela za kulea mtoto wake, lakini ana muda wa kunifuatilia kila mahali. Amenigeuza mateka wa maisha yangu mwenyewe.
Ametoa maneno ya vitisho, na ninamwona kama mtu ambaye yupo tayari hata kuniua. Cha kushangaza, mimi ndiye niliyemuacha, kwa amani, nikamrudishia kila kitu, lakini yeye bado ana hasira kali kwangu. Familia zimeshamshauri sana – zote mbili – lakini bado habadiliki.
Naombeni ushauri wenu wanaJF.
Mtu wa aina hii, anayenifuatilia, anayevuruga maisha yangu, anayewatisha wanaume ninaokutana nao, na anayenitia hofu kwa maisha yangu na ya mwanangu — nimfanyeje ili aache kunisumbua kabisa?
Niko tayari kwa mawazo yoyote ya kisheria, kijamii au kiusalama. Asanteni sana.
Yes nimezaliwa Dar, yeye amezaliwa Bukoba, tumekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32, baada ya kuachana nae nilirudi kwa wazazi wangu wapo hapa hapa Dar, biashara nilifungua eneo jengine kabisa ila amekua ananifatilia kila sehemu niendayo nashindwa kuelezea jinsi ambavyo amekua anatokea kila nilipo, mimi na yeye hatuna mazungumzo bali yeye anadeal na mwanaume yoyote atakayeonesha ukaribu nami,Inaonekana mmekulia eneo moja,
mkaoana na kuishi eneo hilo hilo.
Mkaachana eneo hilo hilo
Unafungua duka eneo hilo hilo
Wapenzi wapya unaishi nao eneo hilo hilo
na kichapo wanachapiwa eneo hilo hilo!
KWANI KUHAMA NA KWENDA KUANZA MAISHA MAPYA SEHEMU NYINGINE NI KOSA KISHERIA?
Hapana siogopi ila sikua na ufahamu mwanzoni kama naweza kumpeleka mtu wa hivyo polisi, kupitia JF nimejua na tayari nimefungua jalada lake,Nilichogundua kwa mleta mada anaogopa kumpeleka kwenye vyombo vya kisheria akihofia mtoto aliyezaa na Jamaa
...Pole. Polisi Wana kazi Gani ? Anapiga na kutishia Watu bila kuchukuliwa Hatua,??...🤔Salaam WanaJF,
Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza kusimama tena, kujijenga na kuendelea mbele. Shukrani za dhati kwenu wanaJF – kuanzia uongozi hadi wanachama wa kawaida.
Wito wangu: msibeze uzi wa mtu anayeomba msaada. Hamjui yuko katika hali gani kiakili au kihisia. Si kila mtu ana ndugu wa karibu, marafiki au majirani wa kuongea nao. JamiiForums kwa wengine ni kama familia ya mwisho ya kusikiliza.
Narudi kwenye mada kuu...
Yule mwanaume aliyebadilisha maisha yangu kuwa machungu, alikataa kunipa talaka. Nilijikuta katika maisha ya sintofahamu – sijui kama bado ni mke wa mtu au msela. Aliniacha nikiwa mjamzito na mtoto wake. Hata baada ya mtoto kuzaliwa, hakutoa msaada wowote. Nilijitahidi kuvumilia, nikavunjika moyo, lakini bado niliendelea kuwa na matumaini.
Hatimaye niliamua kumwambia: naomba talaka. Nilikuwa tayari kuwa single mom – japo najua kuwa kundi hili nchini linaonewa na kubezwa mara nyingi. Lakini yule mwanaume alikataa katu katu kuniacha. Hakuwa mume wala mlezi.
Baada ya afya yangu kuimarika (nilijifungua kwa C-section), nilienda BAKWATA kudai talaka. Alipoitwa mara kadhaa alikaidi, lakini baadaye alipoona naendelea kusisitiza, alisema bado ananipenda, ila anaendelea 'kujitafuta'. Kwa sababu hiyo isiyo na msingi, niliamua kujivua mwenyewe ndoa ile, nikarudisha mahari. Ndipo alipopata hasira na kuwa mtu mwingine kabisa.
Akageuka kuwa kama kivuli changu.
Nilipofungua duka, alianza kuja kila siku, akikaa karibu ili kuniangalia. Akagombana na wateja wa kiume waliokaa muda mrefu, akifanya vurugu zisizoisha. Biashara ikaharibika — nikalazimika kufunga. Nilipoanza biashara nyingine, hali ikawa ile ile. Nikipata mchumba au mpenzi, anawinda, anampiga au anamfukuza kwa vitisho. Moja aliyejitokeza kunichumbia alimpiga vibaya sana, akamwambia akae mbali na "mke wake".
Nina wasiwasi hata simu yangu ameihack. Sina amani naye. Hana muda wa kutafuta hela za kulea mtoto wake, lakini ana muda wa kunifuatilia kila mahali. Amenigeuza mateka wa maisha yangu mwenyewe.
Ametoa maneno ya vitisho, na ninamwona kama mtu ambaye yupo tayari hata kuniua. Cha kushangaza, mimi ndiye niliyemuacha, kwa amani, nikamrudishia kila kitu, lakini yeye bado ana hasira kali kwangu. Familia zimeshamshauri sana – zote mbili – lakini bado habadiliki.
Naombeni ushauri wenu wanaJF.
Mtu wa aina hii, anayenifuatilia, anayevuruga maisha yangu, anayewatisha wanaume ninaokutana nao, na anayenitia hofu kwa maisha yangu na ya mwanangu — nimfanyeje ili aache kunisumbua kabisa?
Niko tayari kwa mawazo yoyote ya kisheria, kijamii au kiusalama. Asanteni sana.
Na wazungu wanasema 👇🏽Usipende amani wakati wa vita utakufa mapema: By mwana FA
ningekuwa ni mimi ndo mleta mada, huyo fala angekuwa marindaless
Kabisaaa...au km sio eneo Hilo bas ni wapo katika miji midogo midogo km vile Tanga kwamaana hata suala la usafir kumuendea huyo mwanamke inakuwa ni rahisi, na pia huyo mwanaume Hana kazi ya kufanya!Inaonekana mmekulia eneo moja,