Nifanye nini niongezeke uzito?

Nifanye nini niongezeke uzito?

Sema huna stamina tu ya kuendesha mizigo mkuu...

othetwise nakwambia nyama nono na tumafuta mafuta ndio kimbilio letu

Mkuu na experience kubwa sana nawanawake vibonge,ila mwisho wa siku hao wanawake changamoto sana,endelea kukomaa ila utarudi du kwa viportable ni suala la muda tu.
 
Ani hapo ni kujitahidi tu ani. Hakikisha unakula machips chips zaidi na wali na usisahau masukari sukari eiza aisikrimu l, chai au makeki
Ani apo anataka mtako wa kubembea ani....😅😅😅
 
Mazingira yanaruhusu sema ndo hvyo nikila kidogo tu nakua nshashiba ani,nkitaka nile vizuri mchana basi asubuhi nabid nisinywe chai...nkinywa chai mchana nkija kula nakula kidogo
Usizingatie ujazo wa chakula bali qualities (kilochomo), unatakiwa ule chakula chenye calories nyingi naamini hata kam huna appetite ya kula Chipsi yai unaweza maliza, Supu na na sambusa mbili unaweza maliza, soseji na mishikaki unaweza hizo ndio package jua jinsi ya kuzioangilia
 
Utakuja kujuta mi nilikua na 70kg now nimefika 90kg,yaan nkitembea kidogo nahema mno ,pumz imekua shida,nimebakia tu ukipita kwny vijiwe vya boda boda utaskia tu miluz,mara mzigo huo ,mara hii imeenda,yaan shape inanifanya naona aibu kukatiza baadh ya maeneo,mim sipend attention,sipendag kabisa,nna mpango wa kupungua,nifike 75kg bas,nguo zote hazinitosh nilizokua nazipenda,na source ya mwili ni kula,aisee utafutuka,ujichukie,,cna hamu na unene kabisa

Sent from my FRD-L19 using JamiiForums mobile app
 
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.

Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Jitahidi kuongeza kidogo kidogo kiwango cha chakula unachokula.

Fanya fanya mazoezi ,utasikia njaa hivyo utataka kula zaidi (utapata hamu ya kula).
 
1. Punguza stress au mawazo, kama kunajambo linalo kutatiza fanya utatue hiyo changamoto.
2. Kula milo mitatu kwa siku but iwe Balance diet.
3. Pata muda wa kupumzika.
4. Jumuika na wenzako /marafiki kujadili mambo yenu,umbeya, ucheshi n.k
5. Usisahau ibada
 
ABITOL ndo suluhisho la tatizo lako. Hii dawa sio Kwa wanawake tu hadi wanaume.
 
Back
Top Bottom