Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tusindikize na picha tujue kama wanasema uongoHamna😂😂sema mi nataka kuongezeka kidogo aisee make kila mtu ananikna mwembamba mara mmekonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusindikize na picha tujue kama wanasema uongoHamna😂😂sema mi nataka kuongezeka kidogo aisee make kila mtu ananikna mwembamba mara mmekonda
"ani umemxhauli vyedi ani"🤣Ani hapo ni kujitahidi tu ani. Hakikisha unakula machips chips zaidi na wali na usisahau masukari sukari eiza aisikrimu l, chai au makeki
Hataki kuwa bonge anataka kunenepa, Kuna tofauti kati ya kuwa bonge na kunenepa. Pia na wewe unahitaji kunenepa kilo 50 ndogo Sana kwa mtu mzima at least uwe hata na 54 kill hizo hata kutoa damu unaweza usiruhusiweMimi nina kilo 50. 80 na wala sifikirii kuwa bonge, kwanini unataka kuwa bonge jamani?
Urefu wako? Umri je?Mimi nina kilo 50. 80 na wala sifikirii kuwa bonge, kwanini unataka kuwa bonge jamani?
Hii calculation ipoje? Umri, uzito na urefu ?Unatakiwa kwanza ujue uzito umri na urefu ili upate uwiano
Mfano
Umri ukiwa 36
Urefu cm 165
Uzito kg 58
Uwiano yaani BMI ni 21.3
Kwa hiyo uwiano upo sawa.
Uwiano mzuri unatakiwa uwe kati ya 18-24.
Siyo kila mtu anatakiwa kunenepa, na kila unavyozidi kuwa mrefu basi unatakiwa uwe na uzito zaidi, na unavyozidi kuwa mfupi napo unatakiwa uwe na kilo chache zaidi.
Simple tu.Hii calculation ipoje? Umri, uzito na urefu ?
Najua Hilo, ila naulizia zaidi swala la Umri kwenye hio calculation.Simple tu.
Download App ya BMI calculator
Au ingia Google andika "BMI Calculator" halafu ingiza hapo taarifa zako utaletewa BMI
NB: Hakikisha uzito unaweka kg, urefu cm
Kama hujui urefu wako, simama ukutani then weka alama panapoishia kichwa then chukua rula pima
Kwamba hujui namna ya kuupata umri wako?Najua Hilo, ila naulizia zaidi swala la Umri kwenye hio calculation.
Hata kidogo tu?Hamna
Yaani kama yule mtangazaji wa clouds kipindi kile ambaye alikuwaga "anamkojoza" yule madame msanii wa bongo fleva[emoji38]mi napendaga mibonge, minyama nyama!
Kofi moja tu lishakojoa
'elewa maana ya kukojoa'
Mbona hivyo ulivyo unafaa kabisa kwa matumizi ya binadamu?![emoji39]
Najua, ninachokuuliza umri unaingia vipi kwenye hio calculation ya BMI ? Hicho ndio sijui.Kwamba hujui namna ya kuupata umri wako?
ni halali uongezeke kidogo aisee duh
Najua, ninachokuuliza umri unaingia vipi kwenye hio calculation ya BMI ? Hicho ndio sijui.
Kwenye kikombe cha chai weka nusu kijiko cha margarine (cha sukari)Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience