Nifanye nini niongezeke uzito?

Nifanye nini niongezeke uzito?

unajuaaa dr

Mama said you are pretty girl
Whats in ur head doesnt matter
Brush ur hair, fix ur teeth
What you wear its all that matters

Pretty hurts
We shine the light on whatever's worst..

Huu wimbo unaishi kwenye vizazi vyote, ni ukumbusho mzuri sana kwa mabinti,

"Perfection is a disease of a nation,

You're tryna fix something

But you can't fix what you can't see

It's the soul that needs a surgery,

Pretty hurts"
 
crop top tunaishia kuziona kwa kina beyonce...noma sana yaani
Pole jamani
Mm nazivaa vaa kwa nadra ila usiku
Katumbo kanaruhusu kwa mbaliiiii
Ila najiona mpaka krismasi inafika sitakuwa na huo uwezo 🤣🤣🙌
 
Ukizaa utanenepa japo wengine hubaki hivyo hivyo tu, ungekuwa kwa wazungu ungekuwa na soko kweli ila kwa huku kwetu wapenda nyama nyama fanya uongeze kiasi tu, kuna kipindi nilijipunguza mpaka kilo 62 hata sikupendeza miili ya kibantu ni nyama nyama wastani nazo zisizidi
Umesema vyema.
Mimi ni mama wa mtoto 1,na mtoto ana umri wa miaka 8,uzito wa kilo 22

Pamoja na kujifungua lakini kilo zangu zimebaki pale pale,huwa zina range Kati ya 39-41,urefu wangu ni 151 cm.
 
Umesema vyema.
Mimi ni mama wa mtoto 1,na mtoto ana umri wa miaka 8,uzito wa kilo 22

Pamoja na kujifungua lakini kilo zangu zimebaki pale pale,huwa zina range Kati ya 39-41,urefu wangu ni 151 cm.
Na ile kitu nilikupa bado umegoma kuvuka hizo 40s 😂😂 Lily jamaniiii
 
Pole jamani
Mm nazivaa vaa kwa nadra ila usiku
Katumbo kanaruhusu kwa mbaliiiii
Ila najiona mpaka krismasi inafika sitakuwa na huo uwezo 🤣🤣🙌
hahaaaa..mie bado nabanana na vigauni vifupi..sema unajihis nishai kabisa...soni inakishika...dela ndo sitakuja vaa ..ukiniona na dela basi siku hiyo naosha madirisha😞
 
Na ile kitu nilikupa bado umegoma kuvuka hizo 40s 😂😂 Lily jamaniiii
shosti inaongezeka kila moja na point,mara ina drop .Sasa mpaka iongezeka tena hiyo kila moja ni shughuli😃
 
hahaaaa..mie bado nabanana na vigauni vifupi..sema unajihis nishai kabisa...soni inakishika...dela ndo sitakuja vaa ..ukiniona na dela basi siku hiyo naosha madirisha😞
Short dress inatubeba sana
Hazijawahi mkataa mtu..

haha ukienda msibani
Ama kwenye shughuli za kijamaa unavaa nn?
 
Mm nilikuwa kama ww, yan chakula napata lakn nakula kidgo tu nashiba, yani kifupi mpaka sasa sio mlaji. Ila nilivyopata kazi tu, ndani ya miezi 3 nikaongezeka kutoka 54 hadi 65. Kiwango cha ulaji ni kilekile tena sasa hivi nakula kiafya zaidi cuz hela ipo.
 
Umesema vyema.
Mimi ni mama wa mtoto 1,na mtoto ana umri wa miaka 8,uzito wa kilo 22

Pamoja na kujifungua lakini kilo zangu zimebaki pale pale,huwa zina range Kati ya 39-41,urefu wangu ni 151 cm.
Dah nikupe hongera kwakuwa uzito mkubwa ni janga la dunia ila hizo kg mimi sizitaki unakuwa mdogo mdogo sana na hawa wanaume wetu wa kiafrika😂😂
 
Dah nikupe hongera kwakuwa uzito mkubwa ni janga la dunia ila hizo kg mimi sizitaki unakuwa mdogo mdogo sana na hawa wanaume wetu wa kiafrika😂😂
Mwili mdogo una changamoto zake.
Ninaongezea juhudi ili niongeze hata kilo 5 tu.
Watu wasionifahamu wakiniona na mtoto wangu huwa wanajua ni mdogo wangu
 
Back
Top Bottom