Nifanye nini niongezeke uzito?

Nifanye nini niongezeke uzito?

Kale kamama KANENE cha kwenye lile swala la TRA ni kachaga pia.

Kafupi kanene kama kibanda cha MPESA, halafu kichwa kidooogooooo!

Kamejaa, matuta, wowowo, mafenesi, manyonyo kama mapapai, kamejaa kako MVIRINGO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka mno mnooo
 
Kwa nini unakula kidogo bibie?
Mazingira yako ya kazi au nyumbani hayakuruhusu kula kwa wakati?
Je unauhakika mwili huo unaoutaka kwenye familia yenu watu wengi wapo hivyo isipokuwa wewe tu ndio sio kibonge?
Kwa upande wa bi mdashi wote wabonge sema watoto wa bimdashi sote ni wembamba
 
Kwa nini unakula kidogo bibie?
Mazingira yako ya kazi au nyumbani hayakuruhusu kula kwa wakati?
Je unauhakika mwili huo unaoutaka kwenye familia yenu watu wengi wapo hivyo isipokuwa wewe tu ndio sio kibonge
Mazingira yanaruhusu sema ndo hvyo nikila kidogo tu nakua nshashiba ani,nkitaka nile vizuri mchana basi asubuhi nabid nisinywe chai...nkinywa chai mchana nkija kula nakula kidogo
 
Back
Top Bottom