DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Asi sahau kuvuta bangi kwa ajili ya kuongeza hamu ya kula.Kwanza tafuta dawa za minyoo kula mpaka uhakikishe imeisha yote. Tafuta vitamin b complex tumia dozi. Tafuta vitamin c tumia dozi.
Alafu ingia sokoni tafuta mbegu z maboga kilo karanga kilo 2 maziwa na asali.
Mbegu za maboga na karanga zikaange zikaangike alafu zisage pamoja upate unga huo unga chemsha maziwa kikombe kimoja weka na vijiko 3 vya karanga na maboga kwa pamoja na asali kafiri utakavyo hii itakusaidia lakini muda mwingine wote wa kula kandamiza misosi ya kwenda na matunda ule muda wa kati ndio unapiga kikombe chako cha mchanganyiko huo utaona mabadiliko ndani ya muda si mrefu