Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Hii kitimoto ni dhambi kula. Ukialikwa kataa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1680814332409.jpg
    FB_IMG_1680814332409.jpg
    46.6 KB · Views: 3
Kama ameshindwa kuacha mpandishe cheo awe mke mkubwa Basi.
 
Na wewe unakula haramu vingapi MBNA mnapenda kujihesabia haki nyie watu.....kama angekuwa anakunyima ngono sawa lakini kama unapewa kwa wakati mkaushie ale anone

Hivi unajua Nguruwe ndiye mnyama pekee mwenye viungo vinavyo fanana na binadam kuliko mnyama mwingine yeyote na hata tissue/Nyama, mbavu nk. Sasa wewe endelea kula Kiti moto ila ujue ni sawa na unakula ............kiti moto
 
Nini tofauti ya imani na dini?
DINI ni taasisi yenye malengo, mitazamo na kanuni zake. Mfano SDA ni taasisi, Katoliki ni taasisi, LDS (Latter Day Saints) ni taasisi.

IMANI kibiblia ni hali, uhakikisho, au usadikisho wa mambo yanayotarajiwa na yasiyoonekana. Ni zawadi na tunda la roho wa Mungu (ROHO MTAKATIFU) ambalo linahitaji kumwamini na kujitoa kwake Mungu.

Hivyo kama Mkeo kama imani itamsukuma hivyo basi ataacha kula kitimoto ila kama sio usitumie nguvu nyingi kumlazimisha kuacha ila mwachie Roho Mtakatifu afanye kazi yake inapostahili
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mpikie nyingiii ale hamu iishe, hamu ikiisha
Hatakula tena, usishau kachumbari na kinywaji anachopenda.
 
Kwann nawew usionje ck moja ili ujue kinachomfanya ashindwe kuacha kula ni kipi?
 
Back
Top Bottom