MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina usemiAu unasemaje chalii?
Na wewe unakula haramu vingapi MBNA mnapenda kujihesabia haki nyie watu.....kama angekuwa anakunyima ngono sawa lakini kama unapewa kwa wakati mkaushie ale anone
DINI ni taasisi yenye malengo, mitazamo na kanuni zake. Mfano SDA ni taasisi, Katoliki ni taasisi, LDS (Latter Day Saints) ni taasisi.Nini tofauti ya imani na dini?
Jiongeze sasaNdio ipi hiyo? Nasikia orgasm ya nguruwe ni 30 to 45 minutes
Watu wanafakamia gududu tu 🤣Kuna mtu nae fb kaomba ushauri mke yake inakula gududu balaa😃 ila jamaa ni Muslim, bibie ni mkristo au au au au basi tu😁
Hahaha hatariTafuta majani ya mgomba mchemshie pamoja na nyama ya paka mwitu halafu mpe anywe mchemsho wake haitafika wiki ataacha.
Mke ni wetu sio wakoMke ni wangu au wako? Kati yangu na wewe nani anateswa na pilipili ya shambani?
Hahahaaapaka mwitu hawauzwi unatakiwa ukawinde mwituni kwa kutumia mbwa wa Germany Sheffield
Mpikie nyingiii ale hamu iishe, hamu ikiishaMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?