Amua moja kuwahudumia sababu una huruma au kutowahudumia sababu hutaki kero na si jukumu lake.Mimi ni Ke, nishawahi kuwakazia ila najikuta tu nawaonea huruma watoto.
Maana wanakwambia tangu jana usiku walivyokunywa uji na mihogo mpaka mchana huo hawajala
Balaa nakosa picha mimiIla jaman wanaume tutafutee Hela tujenge majumba km unapenda kuwa na wtt wengii🤔🤔maana c poa watoto WA 5 +BB na mm n watu 7 Kwenye chumba na seblee aiseé n nooma mazeee
Kuna siku napata na nawapa kidogo.Mkuu kama unavyowapatia vipo ndani ya uwezo wako na havitakuathiri wapatie tu bila kinyongo wala manung'uniko..kama haviko nje ya uwezo wako waambie huna.
Mungu ana makusudi yale kukuweka hapo pamoja nao
Ndio, huwa sina uchoyo ninapokuwa nacho ila sasa wakati mwingine mpaka naogopa kupika vikanukiaMfahamishe mumuwe pengine hajui. Ila wakati mwingine hizo ni silka ya mtu. Wewe hauna silka ya kunyima/kukataa/uchoyo. Ivyo utaweza kusema leo hapana kesho wakurudi utakosa ujasiri wa kukataa. Hiyo ndio silka yako ungekua hauna silka hiyo kitambo ungekua ushakata mrija na wasingerudi tena. Kwa kesi ya watoto wezesha tu ambacho kwako hakitogeuka maumivu.
Una miaka mingapi hiyo sehemu?Kuna siku napata na nawapa kidogo.
Ila sasa ndio kama imekuwa mazoea.
Yaani haipiti siku.
Wakisikia brenda linanguruma, wanakuja na vikombe niwawekee juice
Wewe wanunulie box la condom tu hao watu waambie ndio msaada wako wa mwisho.Yaani ni kero sana.
Mpaka sina amani na kuacha mlango wangu wazi hata refunded.
Maana wanajua nina uwezo
Hapo kwa bold naepuka sana.Dah! Hata kama anachepusha hela as long as watoto wanakuja wana njaa na unaweza kuwasaidia na haikuathiri wasaidie tu na Mungu atakubariki. Siku huna waambie sina. Ila pia kama wengine walivyosema sio mbaya ukamshirikisha mume wake ila akijua mtagombana na anaweza kukuzushia unamtaka mumewe.
Ukiona ni kero sana hama. Watoto watano na maisha haya ni taabu kweli kweli. Pia huyo baba mnunulie box la condom!
Basi kuwa straight mwambie tu hauna..Mimi si mtu wa dini sana.
Napiga sana sana hizi bolingo na taarabu
Tutafute Hela aloooHatari sana