Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

kuna wengine wanajiendekeza tu, , nishawahi kukaa na watu wanaomba mpka dawa ya mswaki nikawa najiuliza hivi hawa mpaka dawa ya mswaki inaisha unakuta haoni au ni makusudi,,, anyway pole Katrina
Asante sana.
Yaani ni kero sana.
Baba anafanya kazi ila sijajua kuna nini hapa katikati
 
Umenikumbusha lake zone nmetoka holiday nikaamua kuchukua house nje ya mji yenye ulitulivu kuna ssta nae kapanga near house ana two children aseee wanaomba hela wale watoto yaaan nilishukuru alivokuja kukosa kodi akahama kinguvu
 
Sawa sawa mkuu.
Nimeuelewa ushauri wakk.
Nashukuru sana mkuu
 
Basi kuwa straight mwambie tu hauna..

Wewe ni ke au me?
Watoto wananiuma maana huwa wakati mwingine naghahiri kuwasaidia ila nikiona mtoto kama najikuta nashindwa kuwanyima.

Mimi ni Ke
 
Uwongo dhambi Ki ukweli watoto wanatesa sana wazazi ambao hao hao wazazi waliendekeza ngono zao kuwapata hao watoto.. Wazazi wengi wanapata watoto ilihali ni starehe za ngono na sio uhitaji wawatoto

Dunia haina huruma hiii kuzaa zaa bila mpangilio ni changamoto kwa watoto na wazazi
 
Ndio maana nimekuja hapa kuwaomba ushauri wakuu wangu
Ukiona unaumia ndani usiwasaidie na ukiwasaidia basi chora mstari wa ukomo na wao wajue kabisa huo ukomo sababu kwa historia yetu ya ujamaa msaada unaojirudia hugeuka wajibu na haki kwa anayesaidiwa.

Mfano: Huyo jirani akishajua hapo kwako atapata chakula saikolojia yake itamtuma kuelekeza bajeti ya chakula kwenye mambo mengine sababu kinapatikana kwako.
 
Umenikumbusha lake zone nmetoka holiday nikaamua kuchukua house nje ya mji yenye ulitulivu kuna ssta nae kapanga near house ana two children aseee wanaomba hela wale watoto yaaan nilishukuru alivokuja kukosa kodi akahama kinguvu
Ni kero sana aisee.
Ni basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…