Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Usihofu, ukisikia "my soulmate", ndo hiyo sasa...

Kama nawe unamuita mumeo your soulmate basi unamdanganya lakini huyo mwenzako, wewe ndo soulmate yake hasa!

Ngoja kwanza... my soulmate vs my second half ni ipi ina nguvu sana?!

Sasa mtu ana-share mtima na wewe halafu unashangaa akifahamu usemayo?!

Tembea kifua mbele dada, unapendwa!!
 
Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy
Acha kumuogopa mumeo maana nyie sasa ni mwili mmoja hakuna cha privacy tena hapo.
 
Kutaka kwako kuperekewa Moto na wahuni kutakupereka kubaya ...........tuliza mshono........kama ulizoea kukunwa kunwa hapa utaumia...............
Ukiongea kama mume sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama ni mrefu na mweusi , vumilia tu mkuu kwani ndio chagua la moyo wako
 
Mahaba niue..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwahiyo ndo umekuja kunisema huku au sio
 
Which privacy kama yote ni ya heri.
Limbukeni wa zinaa ndo uhofu kuhusu privacy
Mfano mdogo kuna kitu siri za familia sio ya wewe na mumeo wee na ndugu na wazazi wako. Kila unachozungumza na familia yako na yeye akijue? Ni sawa hiyo!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…