Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Asante sana kwa ushauri, nitafanya hvyo
 
Alianza kusimamisha na tunafanya at least dakika tano anamwaga, sijawahi hata kuchepuka tokea nimjue, watoto wote ni wake maana hata wa kike kafanana nae achana na wale wa kiume maana wao ndo copy yake kabisa
Sawa lakini umesema hilo tatizo umemkuta nalo tangu mkiwa wachumba which means ulikubaliana udhaifu wake na ukawa tayari kuuvumilia mpaka kifo, sasa inakuaje Sasa hivi unageuka?? Kwanini sasa hivi unaongelea mambo ya kiridhishwa wakati hilo sio geni kwako na umeweza kukaa naye kwa miaka 6 ya ndoa jumlisha na ya uchumba ambayo haujataja idadi yake?
 
Hakuna wanaume malaya kama wenye matatizo ya nguvu za kiume na wenye vibamia. Sijui wanakuwa na shida gani.

Labda kisaikolojia anakuwa anajipa moyo kwamba kuwa na wanawake wengi kunamfanya aonekane kidume, na huko nguvu ya pesa huwa inatumika sana kuliko tendo.

Mwisho wa siku mnawaaibisha wake zenu hapo mtaani kwa vibamia vyenu halafu dk 2 chali.

Dada kinachomuumiza sio ukosefu wa nguvu za kiume wa mume wake alishakubaliana na hali akamchukulia mwenzie kama alivyo( wanawake wengi huwa wanajitoa muhanga kisa kupenda) kinachokera ni umalaya wake tena mtaani kabisa.
 
Haswaa, yaan hiki ndo kinaniumiza
 
Itakua humvutii kimahaba
Inawezekana kwako yeye havutiwi nawe na huko anakochepuka anapiga bao za kutosha.Ombi langu muwe na muda wa kutoka hata week moja hivi mwende hata mbuga za wanyama mkapumzike na kupata muda mzuri wa kutafakari namna bora ya kuboresha mahusiano yenu.
 
Acha kushiriki nae tendo atakuletea magonjwa ya zinaa huyo ujute zaidi,
Kazana kuomba uhamisho hadi uupate kukaa nae mbali kutakupa wewe Amani ya Moyo na huenda na yeye akajirekebisha akikukosa.
Kwa watu wachache niliowaona...huyu hata akienda nae mbali kwa sabbu bado anampenda mume wake atatamani kurudi tu. Its a matter of time.
 
Inawezekana alidumu kipindi kirefu na hiyo hali ya kutoshiriki tendo hadi akawa anajihisi kudharaurika. Na kwa sasa baada ya mambo kumuendea vizuri anafanya kufidia alichokitamani wakati ule. Wanadamu wote huwa tuna hali ya kufidia mapungufu/madhaifu yetu pindi tunapofanikiwa kuingia kwenye hali bora zaidi ya awali. Iwe umasikini,mavazi,magonjwa,n.k.

Pamoja na hayo,usimkatie tamaa sababu mshakuwa wamoja. Tafuta muda umuambie ni kiasi gani unajihisi kudhalilika pindi anapofanya hiyo michezo jirani na nyumbani. Kama hawezi kabisa,awe anaenda kufanyia mbali na kwa kificho angalau kulinda heshima yako bila kusahau kujilinda na magonjwa ambukizi yatokanayo na ngono.

Wewe binafsi jitafutie mwanaume mmoja sahihi na umuweke wazi nini unataka kutoka kwake kwa ajili ya kukidhi haja zako endapo hiyo hali ya mumeo bado inakutatiza.

Ana miaka 39
 
crushed kuna aliekushauri kujikita sana katika maombi. Kiukweli na mimi nasupport kama mdau wa wanawake kusimama katika imani. Sina experience sana kwenye hii sector lakin kwa machache ninayoyajua.. you need peace right now. Kweli umeshasacrifice sana kwa ajili ya mume wako na too bad inataka kukurudi vibaya. The time, efforts, love involved inakuumiza sana. Hasa kama wewe unasimama katika nafasi yako.

Neno la Mungu linasema "kila jaribu lina mlango wa kutokea (1 Kor 10:13)." Haya mambo sometimes yanatutokea ili kupimwa namna tunavyoweza kusimama na kumuamini Mungu. Your Faith is being tested. Ninachoweza kukushauri...Kwanza omba Mungu amuondoe mumeo moyoni mwako. And mnyang'anye mmeo moyo wako. Its a very hard statement lakin sina namna ya kuandika. Mungu kasema tumpende kwa Moyo, Roho, Akili na Nguvu zetu zote. Ni muda mzuri umepata wa kuwa addicted to God. Lets be addicted to seeking the Kingdom of God. Simaanishi umuignore ama umdharau. Utakuwa humpendi Mungu. Namaanisha tuanze sasa kusoma scriptures kama machizi. Umepata a very great time ya kutengeneza uhusiano binafsi na Mungu.

Usimuangalie mjamaa maana hutaweza kusimama. Afu pia tafuta foundations ambazo huwa zinapenda kutoa misaada. Charity groups labda. Jiunge nazo. Weekends kama huna ratiba kazini ama vikoba unashughulikia nyumba yako. Unawapikia watu chakula kizuri. Unakuwa busy inshort. Ndo unajikita katika utoaji mara kwa mara. Ukienda kutembelea hospitals, yatima, wazee, wajane sikufichi akili yako itahama kabisa kwa huyu anaekutatiza. Maana hata yeye ni shetani anampepeta. Hate the devil behind him do not hate him. Maana shetani anapenda kuiba, kuharibu na kuchinja. Lakin nakuamin unaweza kusimama na kuomba kupambana nae.

Wanaowindwa si wewe wala mumeo, wanaowindwa ni uzao wako uishi maisha ya mara leo kwa baba mara kwa mama. Inatengenezaga bad psychology ni basi tu sometimes wengne inawabidi. Adui anataka kukupokonya nafasi ya mke na ni wajibu wako kukataa. Ombea nafasi yako kama mke..tena nakupa tip..jifunze kuamka saa tisa usiku kuomba. Maombi ya usiku yana nguvu sana. Ask the Holy Spirit akusaidie maana we mwenyewe hutaweza. Lakin nikutie moyo kwamba Ndoa yako inapona kabisa..wala haina shida iyo. Ni shetani anataka kucloud your judgement ili uamue kwa hisia. You are a strong woman..najua unaweza kusimama na kumpiga huyo bata!
 
Nakazia.
Na pia alikuwa hampendi mtoa mada na hakuwa na hisia naye kabisa maana mtoa mada alikuwa hamvutii.

Ila kwa vile mtoa mada alionesha uvumilivu ndio jamaa akaanza kama kumwelewa mwelewa akawa anasimamisha japo dakika tatu.
Wewe katili sana unamvunja moyo kabisa mwanamke mwenzako.
 
Sahii kabisa Mumewe Ni nyege TU,
Angekua hampendi angemtimua na kuoa Michepuko. Jamaa anafata nyege TU nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angatulizana tu na aache kuhangaika huko, kama kweli jamaa ana matatizo aanze kumtibia kwa chakula na mazoezi. Mlo pekee hautoshi afanye mazoezi ya kuimarisha mishipa ya uume. Kama anataka asitoke basi atumie ujuzi kama mwanamke
 
Kwani wee shida yako ni nini, kwamba hakupi penzi murua na kukusugua vzr au kisa ni mchepukaji?

Kama ni mchepukaji na wewe chepuka, kama hakurizishi tafuta wa kukurizisha.
 
Wewe nawe sijui umekuja mjini lini. Hivi unadhani kila mtu ameoa na kuolewa na watu wanaowapenda?

Kwahiyo kulala chumba kimoja na kuzaa na mtu ndio kumpenda mtu? OK, kama anampenda kweli kwanini alikuwa hasimamishi?[emoj
Ndoa na upendo ni vitu viwili tofautii...Kuna watu hawaielewi hii falsafa yaan
 
Upoo sahihii kakaaa...tumetofautianaaa
 
Wewe na jamaa wote mna kashida mahali.

Mtu toka uchumba wenu hadindishi kwanini usingemuacha mapema, jamaa na yeye anajijua kabisa jogoo hapandi mtungi anaoa ili iweje kuja kumtesa tu mtoto wa watu.

Haya kupush hawezi, hata romance pia hola na bado anachepuka aisee.

Na jamaa sio kua anachepuka eti ana tamaa, ni vile tu anataka kuiaminisha jamii kua nae anadinda(kijogoo).
Apate psychogist amshauri, ajione yuko sawa na hiyo hali yake, asijihangaishe kuprove kwa watu kua uwezo anao, anazidi kujidhalilisha zaidi.
 
Bonge la ushauri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…