Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Hapana mzee mie mzee wa dakika mbili lakini mbususu nazisaka kweli kweli. Cha muhimu naenjoy mie huyo mwanamke akatafute wakumridhisha.
 
Sahii kabisa Mumewe Ni nyege TU,
Angekua hampendi angemtimua na kuoa Michepuko. Jamaa anafata nyege TU nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza kumjaza ujinga sasa angekua hampendi angekua analala nae chumba kimoja angekua hampendi angezaa nae watoto angekua hampendi angehudumia familia angekua hampendi angeweza kurudi kwake?

Jiulize kwanza kabla hujageneralize mambo
Anahudumia familia vzuri, na hatuna ugomvi wa hapa na pale changamoto ni kwamba alivyokazana kuchepuka ndo nakereka na hisia nae zinaisha
 
Duh...hapo ni missionary tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hili pia limenitafakarisha Sana[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kusimamisha na tunafanya at least dakika tano anamwaga, sijawahi hata kuchepuka tokea nimjue, watoto wote ni wake maana hata wa kike kafanana nae achana na wale wa kiume maana wao ndo copy yake kabisa
 
Ha ha ha ...wee jamaa Ni mchambuz mzur wa Michepuko. Ha ha a....nmecheka balaa[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume atakua anaenjoy na kuperform better show za nje sasa akija kwako duduwasha lageuka utambi...

Kama chakula cha hotelini anaridhika usitegemee atakula home vzr!

Pole!
 
Mwanaume atakua anaenjoy na kuperform better show za nje sasa akija kwako duduwasha lageuka utambi...

Kama chakula cha hotelini anaridhika usitegemee atakula home vzr!

Pole!
Sahii kabisa,
Kinachowadanganya wanawake wanadhani wote uwezo kitandani umelingana, mtoa mada awacheck makungwi wamsaidie awe fundi kitandan

Hawajiulizi kwann tafiti zinaonesha wanunuaji wakubwa wamakahaba Hapa mjini Ni wanaume waliooa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri usiokuwa na chembe ya unafki. Tafta Mwana humu kwa makubaliano flani, akunjunje, maana Ukwasu kwa miaka6 sio mchezo utadata, tafta mtu akupe unachotaka umwage mpaka Ubongobalafu rudi katulie na mmeo. Sikutumi ukaziniwe, ila kwa maelezo yako unatamani upate mtu akupige mashine kisawa sawa sababu umesema hutaki kumwacha mpendwa wako..cheat japo mara moja, ila usibet Tafta mtu mwenye Afya zake. Mkaziniane kisha ukatulie ulee familia
 
Alianza kusimamisha na tunafanya at least dakika tano anamwaga, sijawahi hata kuchepuka tokea nimjue, watoto wote ni wake maana hata wa kike kafanana nae achana na wale wa kiume maana wao ndo copy yake kabisa
Pole Sana aisee,
Pia hongera kwa uvumilivu,
Ushaur wangu nakusihi, usije thubutu kumcheat mumeo, utaharibu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan unamuelekeza akagongwe,
ila bado unasema hujamtuma akazini[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kusimamisha na tunafanya at least dakika tano anamwaga, sijawahi hata kuchepuka tokea nimjue, watoto wote ni wake maana hata wa kike kafanana nae achana na wale wa kiume maana wao ndo copy yake kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…