Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Write your reply...Duh! Nimeshindwa hata nishauri Nini ila pole Sana kwa changamoto unazopitia katika ndoa yako.

Mumeo Wala usimuache, ila zidi tu kumuombea kwa Mungu ambadilishe.Pia mkumbushe kuhusu athari za uchepukaji naamini hiyo itamfanya aache kuchepuka nje ya ndoa.Kila la heri.
 
Jipe muda nenda hata nyumbani kwenu kwa muda.
 
Ndyo hii inawezekana
 
Wanaume vibamia,single goal,dhaifu na goigoiii wanaongoza kuchepuka maana wanahisi wakifanya hivo wanaficha madhaifu yao!!!!
Ni kweli halaf inawezekana hata halali nao wote basi wamuone kuwa anachepuka
 
Imagine ndo tupo honeymoon jamaa anachati na michepuko
 
Bora angekuwa nae mmoja, halaf sasa hayupo selective, anajibebea tu
 
Yaan issue ni kwamba hakukosa nguvu za kiume sahv au tukiwa tushaingia kwenye ndoa, issue ni kwamba sikumkuta nazo yaan hata hiki kidogo sahv hakuwa nacho alikuwa kalegea kabisa kama ni umeme ulikuwa umekatika kabisa nikajifanya kiherehere kumbebea madhaifu yake atengamae lakin naona ndo ananilipa
 
Hivi watu mnakuwaje?
Kuna wakati wazazi kuachana ni ukombozi kwa watoto.

Ni bora watoto kulelewa na mzazi mmoja kuliko kushuhudia wazazi wakigombana kila siku wakitukanana. Hiyo inawaathiri watoto kuliko kulelewa na mzazi mmoja.
Sio kweli kabisa Hannah, hakuna kitu kama hicho, wazazi ni wazazi hata kama mmoja hafai, Bado ni mzazi. Tusishabikie kuvunjika Kwa ndoa unless we are the product ya malezi ya mzazi mmoja.
 
Sasa watoto mlipataje? Kwamba zile sekunde kumi chali ndixo zilizokubebesha mimba au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…