Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Kama roho inauma na huelewi jambo, basi kuna uwezekano wa kutokea jambo la maumivu kwa mtu wako wa karibu.
Muombe Mungu wewe mwenyewe, uwe jasiri kwa wakati huo.
Speaking from what I've experienced.
 
Kama roho inauma na huelewi jambo, basi kuna uwezekano wa kutokea jambo la maumivu kwa mtu wako wa karibu.
Muombe Mungu wewe mwenyewe, uwe jasiri kwa wakati huo.
Speaking from what I've experienced.
Sawa mkuu
 
Mwanaume kwa Karne hii ya 21 unakuwaje mpweke surely?

Hivi wewe hapo alipo huna hobbies zozote zinazoweza kuondolea huko upweke

Fanya uoe basi
 
Demu hatakusaidia ...zaidi akiondoka utabaki unaumia


Ni hatari kumpata mtu kipindi hiki anaweza asiwe sahii kwa sababu you desperate to her


Sijaju imani yako...katika muda unaokuwa na nafasi dedicate na anza kureview na kujenga mahusiano na Mungu
....kama muislam anza swala tano
....mkristo mkatoliki kama mimi...nenda misa daily asubuhi ...sali rozari...muda una nafasi nenda kajiandikishe kwaya au kikundi chochote cha kidini chenye mtazamo chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…