Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Sometimes kataa ndoa wapo sahihi, sometimes hawapo sahihi.

Ww tafuta njia ya kuepukana na upweke hata kama hy njia ina mapungufu.
Kata ndoa hawapingani na mahusiano ya mwanaume na mwanamke, wanachopingana nacho ni ule mkataba wa kitapeli. Mimi binafsi naishi na mwanamke na nimefuata taratibu zote za kumchukua kutoka nyumbani kwao lakini ule mkataba wa ndoa siwezi kusaini kwa sababu kwa ndoto nilizokua nazo endapo ndoa ikivunjika mbele ya safari nitaanguka pakubwa sana
 
Ulitoa mahari?
 
Pata, tafuta ama tafutiwa mwanamke mmoja mweye sifa3:
Mrembo kishenzi unavyomuona wewe
Mnyeyekevu.
Mwenye bidii.
Upweke utakoma na kufikia mwisho.
 
Niliwahi soma kitabu kimoja, kuna sehem kinasema....

"Binadamu hata awe vipi kifedha, umashuhuri, power n.k, kuna nyakati huwa ndani ya nafsi yake anahisi upweke wa hali ya juu",

Alaf mwandishi akaelezea; Upweke huo ni nafasi ya Mungu, kuwa hata iweje kutakuwa na gap flan ivi utakayoihisi kwenye nafsi yako (upweke)...na gap hiyo inapaswa kuwa filled na Mungu....

Sijui ina ukweli kiasi gani, ila kiasi flani kwangu nasadiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…