Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Basi kama utaweza badili hiyo habit.
Shukran mkuuNiliwahi soma kitabu kimoja, kuna sehem kinasema....
"Binadamu hata awe vipi kifedha, umashuhuri, power n.k, kuna nyakati huwa ndani ya nafsi yake anahisi upweke wa hali ya juu",
Alaf mwandishi akaelezea; Upweke huo ni nafasi ya Mungu, kuwa hata iweje kutakuwa na gap flan ivi utakayoihisi kwenye nafsi yako (upweke)...na gap hiyo inapaswa kuwa filled na Mungu....
Sijui ina ukweli kiasi gani, ila kiasi flani kwangu nasadiki
Naam ushauri wako mzur sana Asante mkuuBasi kama utaweza badili hiyo habit.
Pamoja na kwamba wewe ni mwanaume ila ni binadamu. You need to be loved and being taken care of in some ways. I suggest
It'd be better if you find that kind of intimacy relationship where u'll be able to share your thoughts, feelings, hopes, dreams and experiences you hold as a human being.
Tazama, hapa tunabuni tu kuhusu upweke wako ila kama ungekuwa na wa ubavu wa kushare nae, perhaps hata hili jambo usingelileta huku. Au hata lisingetokea kabisa!
Mbona hao ni wanawake wa 3 tofauti mkuu weee sio rahisi hata hivyo naona hiyo hali imetoka saivi nipo vizuri πPata, tafuta ama tafutiwa mwanamke mmoja nweye sifa3:
Mrembo kishenzi unavyomuona wewe
Mnyeyekevu.
Mwenye bidii.
Upweke utakoma na kufikia mwisho.
Pole sana kaka kumbe kila siku tunacheka hapa na tulikuwa hatujui kwamba mwenzetu unapitia kipindi kigumu, by the way hiyoo halii naifahamu sanaaa maana na Mimi nimewahi kupitia pia kakaAsee utu uzima dawa π
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 π
Kaka ushalala Nini?Mbona hao ni wanawake wa 3 tofauti mkuu weee sio rahisi hata hivyo naona hiyo hali imetoka saivi nipo vizuri π
Mmmmh aiseee kwahiyo wale wanao miliki magari hawapo jamiiforums siku iziiFanya kazi mkuu,kila mtu ni mpweke.Kama mimi hapa nina upweke ila nakomaa,ndo maisha yalivyo.Bora wewe unaonekana una mihela sie wengine ndo tafrani hali ngumu. Mimi ningekuwa na hali nzuri saa hii ningewasha gari huyoooo duniani kuona mambo yanayotokea usiku na refresh narudi.
Awe mmoja aliyebeba sifa zote3 ndiye anaweza kupukuchua arosto ya upweke wako na kuuondoa kabisa.Mbona hao ni wanawake wa 3 tofauti mkuu weee sio rahisi hata hivyo naona hiyo hali imetoka saivi nipo vizuri π
Ukishategemea binadamu kwenye furaha yako. Sio tu utateseka na upweke, unaweza kufa na sonona.Basi kama utaweza badili hiyo habit.
Pamoja na kwamba wewe ni mwanaume ila ni binadamu. You need to be loved and being taken care of in some ways. I suggest
It'd be better if you find that kind of intimacy relationship where u'll be able to share your thoughts, feelings, hopes, dreams and experiences you hold as a human being.
Tazama, hapa tunabuni tu kuhusu upweke wako ila kama ungekuwa na wa ubavu wa kushare nae, perhaps hata hili jambo usingelileta huku. Au hata lisingetokea kabisa!
Utu uzima dawaKwa asilimia 80 hadi 90 ndoa sio suluhisho la upweke.
Jamii inayomzunguka mhusika aliyoijenga wakati ananguvu/pesa/madaraka ndo vitasaidia walau kwa asilimia 20 kumuondolea mtu upweke.
Anxiety ni sahihi inaweza kumpitisha mtu kwenye hiyo hali halafu watu hawaijui mm ilishanitokea 2022 sema licha ya psychologist inahitaji muda kuondoka si kitu cha kutibika kwa masaaAsikwambie mtu, upweke ni balaa.
Mtu anakunywa bia 4+ anarudi nyumbani anakunywa dawa za usingizi waapi macho hayafumbi hadi asubuhi.
Na kama si upweke kuna kitu kinaitwa anxiety, sema vinatibika mtu akiwaona wataalam wa afya.
Usingizi ni dawa.
Tumemaliza round ya cha asubuhi mkuuWa pweke wengi sana humu.. wengine wanatoa ushauri sa tisa usiku huu wa manane wkt ilitakiwa wawe wamelala sa izi
Mimi saa hizi naenda jogging πΌWa pweke wengi sana humu.. wengine wanatoa ushauri sa tisa usiku huu wa manane wkt ilitakiwa wawe wamelala sa izi
Weka house girl ....tatizo lako ni nguvu za kiume.....ndilo linalo kusumbua...na ukimweka house girl usiwaambie watu kuwa ni house girl, waache wawe na question mark β problems solved in first stage...and keep going to Farther stepAsee utu uzima dawa π
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 π
Safi hiyo mkuu.... Running ni moja kati ya tiba muhimu sanaMimi saa hizi naenda jogging πΌ