Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

unaleta hekaya sasa. mkate wa kukoboa hauna faida yoyote mwilini kama unakula white bread ni unafurahisha tumbo. kula brown bread. unapata fibre bwana mdogo.
TUSIBISHANE. Endelea kula hilo dona kama lina manufaa kwako.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Na nani kakuambia huko English medium ni vituo vya kuwafanya watoto wawe na akili ni nani?
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
ukoo wa mke au mkeo anaakili?
 
Binafsi huwa siamini sana katika akili ya kurithi kwa wazazi, hii naipa asilimia kidogo sana. Nijuavyo, hakuna mtu anazaliwa mtupu..kila mtoto ana kitu, na hicho kitu ni muhimu wazazi/walimu kukibaini na kukiendeleza. Baada ya darsani(masomo) wajenge watoto utaratibu wa kufanya vitu vingine nje ya ratiba za shule/tuition; mfano kuchora, kufinyanga, kucheza mpira, kusimulia hadithi, nk. Watie moyo na kuwajengea imani kuwa wanaweza, na wanaweza kuwa kama fulani aliyefanikiwa...
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
• Vipi mama yao alikuwa anabugia Pombe or aliabuse dawa yoyote ile wakati wa ujauzito?
• Walipozaliwa wali-score ngapi?
• Katika ukuaji wao wamewahi kupata magonjwa yapi na vipi wameshawahi kupata ajali? Kama ipo ilihusisha nini

• Baada ya hapo ndo tuende kwenye kurithi hizo akili na laana za hapa na pale za familia
 
Kwanza wanajitambua yaani wana uelewa mzuri ukitoa mambo ya shule?

Ikiwa jibu ni ndio waelekeze katika vipawa vyao zaidi .

Mfano ikiwa hawapati A Ila pia hawapiati D basi hao wako vizuri.

Mimi Kama Mwalimu natoa ushauri kuwa tumia mbinu za kuwajengea mentality ya ushindi kuanzia ndani yao. Hii waweza tumia subconscious mind.

Usitumie nguvu kubwa mfano viboko nk hizo mbinu hazisaidii chochote.

Mtoto mjenge taratibu kwa kumtia moyo na hata akipata marks ndogo wewe mtie moyo
Mtoto akipata A maana yake ana akili? huu ujinga tunautoa wapi?
 
Mkuu wewe unaomba watoto wawe na akili ili wafaulu darasani? Nadhani wazazi tunapaswa kuzingatia uwezo wa watoto kujitambua na kuelewa mambo kirahisi. Kuna vipanga tumepiga nao school wanafaulu lakini hawana uwezo wa kuchambua mambo kwa kina. Omba mtoto aweze kuwa na akili ya kuelewa mambo mbalimbali bila kutegemea akili ya darasani pekee.

Nilishawahi kuambiwa samaki wana msaada sana kwenye kushape akili ya mtoto hata mtu mtu mzima kiafya nao ni wazuri. Watoto wangu hata wawe wa mwisho siwezi kumchapa
 
Kinachofanya mtoto awe na uwezo mzuri darasani ni two factors:
1. Hereditary factor - biological factor
Kwenye hiyo factor baba ukiwa na elimu ya kuunga unga na mam elimu ya kuokoteza okoteza basi hata ikitokea baba ukabahatisha kupata fedha za kutosha na uwezo mkubwa wa kiuchumi usije tegemea mtoto wako atakuwa na akili darasani.

Na ndio maana mnapotaka kuoa mnashauriwa usichague mwanamke kwa kuangalia shepu lake mkadhani mwanamke akiwa na mshepu ndio akili, matako makubwa sio indicator ya kusema huyu mwanamke atanizalia watoto ambao watakuwa bright, au mwanamke mweupe ukadhani uzuri - weupe wake mwanamke ndio utafanya watoto wawe na akili. HILO SAHAU KABISA.
Wanaume wengi walio oa wanafeli kwenye hili.

2. Factor ya pili ni environment unayowalelea watoto wako. Ukiwalea watoto kwenye mazingira duni don't expect kuwa watakuwa na akili darasani. Lakini hii factor ni supplement tu kwenye factor namba moja hapo.

Kwa maana nyingine hata uishi masaki, osysterbay, mikocheni etc with very good life lakini una mwanamke akili kisoda au wewe mwenyewe akili yako ya kitapeli tapeli tu halafu ndio ukaangukiwa na bahati ya mtende kuwa na FEDHA, ndugu yangu hata ufanye vipi toto lako litaendelea kuwa la hovyo hivyo hivyo.

Imagine mke darasa la saba, baba diploma au degree ya kuunga unga halafu mtoto awe na akili darasani kweli kwa ku-compete na watoto wenye mama zao ambao ni Bachelor degree holders? Hiyo sahau mkuu, kwa maana ya never ever!

Ulishapotea kwenye kufanya choice ya mke wa kuoa.

NB: MIMI NDIO MAANA KWENYE TANGAZO LANGU LA KUTAFUTA MKE NIMEKUWA VERY CLEAR - mwanamke awe Bachelor degree holder or above it na wala sitaki mwanamke mwenye elimu ya kuunga unga eti mara nilisoma certificate mara diploma, no please 🥺

Kaka ulishayakanyaga, endelea kukomaaa tu na hali yako
 
Sijaona hata aliyeuliza anasoma shule gani? Kuna shule ni changamoto walimu wanaangalia yao. Watoto 600 Dr's moja mwalimu mmoja. Kama anasoma dar muhamishie mkoani. Kama ana soma gvt na yupo dar Hamishia pvt.
Elimu ni uwekezaji ukiwekeza kwenye bure kuvuna ni majaaliwa ya Mungu. Hata kilimo siku hizi hakitegemei mvua ya mwenyeez Mungu.

Zingatia.
Huwezi kufundishwa kila kitu.
 
Kama ulikuwa na akili darasani utajua tu namna ya kuwashape, ila kama ulikuwa unakopy mpaka jina la mwenzio malipo ni hapa hapa duniani. 😁😁😁. Lakini je wakiwa na akili nyingi darasani zitawasaidia nini mneleni.
 
Mkuu kwamba unataka kusema malezi ya kitaalamu ya mtoto anayopata english medium na sawa na anayopata wa shule za kata?
Nini maana ya akili? tuna kwama sana, Akili kila mtu anazaliwa nazo, hakuna kituo wala shule ya ku inject akili kwa watoto, pale shuleni ni vituo vya kuwafanya zile mind zao sasa au akili walizo nazo ziweze kufikiria vitu, mfano, kwa nini atupe jiwe juu then irudi chini, kwa nini Maeneo yasio kuwa na miti. mingi au misitu hayapati mvua nyingi,

Nyie mnaingizwa chaka na zile A na mtoto kuongea Kingereza kwamba ndio akili? A haiwezi kuwa akili. Ndio maana Vyuo vikuu wamejaa wasomi ambao hawawezi unda hata mashine ya kutengenezea misumari, sabanu ni mawazo kama haya.
 
Sijaona hata aliyeuliza anasoma shule gani? Kuna shule ni changamoto walimu wanaangalia yao. Watoto 600 Dr's moja mwalimu mmoja. Kama anasoma dar muhamishie mkoani. Kama ana soma gvt na yupo dar Hamishia pvt.
Elimu ni uwekezaji ukiwekeza kwenye bure kuvuna ni majaaliwa ya Mungu. Hata kilimo siku hizi hakitegemei mvua ya mwenyeez Mungu.

Zingatia.
Huwezi kufundishwa kila kitu.
Shule zipi? nazani unataka kumanaisha kama wanapiga A darasani, make ndio swaga za English medium, sikiliza A haimanishi akili, tunakwama sana
 
Huwa wanapata ngapi shuleni?...Kuzungumzia kuhusu "akili" mada Pana sana Kwa kweli, nimeona mmoja amezungumzia kuhusu kuwa na mama mwenye degree, nawafahamu watu wengi ambao wazazi wao Wala hawakusoma lakini darasani wanapata "A" karibu masomo yote, si Kila mama mwenye digrii anaweza kuwa na watoto wenye digrii, wapo wengi tu wazazi wamesoma ila watoto ni ziro class. Naamini suala la kuwa huyu ana akili na mwingine Hana ni suala Pana sanaaa linalohitaji mjadala mkubwa mnooooo.

By the way, watoto wako huwa wanapata ngapi?, Ili tuweze kuona.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Wapo darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom