Balaa, wa Huwa Ahkam Al Haakimeen.Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea vurugu za Oktoba 29.
Inawezekana kuna kitu huelewi kuhusu kudai haki. Akikaa kimya Niffer wanaibuka wengine wengi zaidi hadi lengo litimie.Nenda kacheze tena challenge tiktok
Sawa endeleeni tu kucheza tena challenge, matokeo mtayapata.Inawezekana kuna kitu huelewi kuhusu kudai haki. Akikaa kimya Niffer wanaibuka wengine wengi zaidi hadi lengo litimie.
Who are you! Kutupangia cha kufanya? Nchi ilipata Uhuru 1961 hii.😀Nenda kacheze tena challenge tiktok
Kumbe wewe mpuuzi kama.mama.yakoNenda kacheze tena challenge tiktok
Ila aliipatia sana! 😂Nenda kacheze tena challenge tiktok
😂😂😂 ndio kitu walitaka kusikiaChawa walisubiria mama apewe Shukran
Sasa kama demu anajiamini na haogopi jera wewe ***** wa uvccm unagopa ndo maana mnaliwa vinyeo ili mteuliweSawa endeleeni tu kucheza tena challenge, matokeo mtayapata.
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea vurugu za Oktoba 29.
Dah kwa wanaofahamu alichokinukuu huyu binti wanajua kuwa kamtumia ujumbe mzito sana Samia. Na Samia akiona clip hizi kama muislamu basi atajua alichoambiwa na uzito wa maneno aliyopewa. Hongera kijana, sikujui wala sikuwa nalijiua jina lako na ufanyalo kabla ya leo lakini nakupongeza kwa werevu wako na kumuweka Allah mbele katika wakati wako mgumu.Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea vurugu za Oktoba 29.
Kuna mmoja huku mtaani tokea aachiwe anatembea na bible muda wote ..kwenye sehemu yake ya kazi bible kaiweka pembeni na mda mwingi anasomaKashika adabu hadi anatembea na tasbih kama mufti wa Baghdad, haya arudi tena kuchochea unyumbu wake wa kihalifu.
Ngoja tusubiri tuone hatima yake. Mpaka sasa mtawala amehamishwa kwenye reli na watawaliwa nao wamekata kamba. Wengine wapo tayari kuua, wengine wapo tayari kufa. Hapo sasa.Sawa endeleeni tu kucheza tena challenge, matokeo mtayapata.
Anaonekana yupo very strong na she doesn't regret. Salute 🙌🏽Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea vurugu za Oktoba 29.
Wewe utakuwa unatembea na pampars Baada kuliwa kinyeo kwa ahadi ya teuzi ya utendaji kata na bado umekosaKashika adabu hadi anatembea na tasbih kama mufti wa Baghdad, haya arudi tena kuchochea unyumbu wake wa kihalifu.