safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
Whyyy????
Whyyy????
kisa?
Halafu huwezi amini huyu binti amepiganiwa na watu wa nchi zote za AfricaInawezekana kuna kitu huelewi kuhusu kudai haki. Akikaa kimya Niffer wanaibuka wengine wengi zaidi hadi lengo litimie.
Amshukuru Mungu aliyewatumia Genz kumsaidiaAkizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea vurugu za Oktoba 29.
Hivi anajua kama katrend Dunia nzima 😂😂Nenda kacheze tena challenge tiktok