GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wavu wa kuvua kutoka Kizimkazi (Purge) / kamatakamata kukumba pia viongozi wa CCM, Vyombo na serikali ndani ya siku chache zijazo kutokana na hofu kuu ya utawala uliojilazimisha Ikulu

TOKA MAKTABA :
Ukandamizaji, kamatakamata baada ya uchaguzi, wanaharakati watoa tamko kwa jumuiya ya kimataifa juu ya kinachoendelea baada ya uchaguzi wa 29 October 2025

08 November 2025

POST-ELECTION CRACKDOWN IN TANZANIA : Activists say protesters have been killed, arrested ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=zYaiw9iDhtI
Tanzania is facing growing political tension as security forces are accused of killing and arresting protesters following demonstrations over last week’s election results. The vote, which returned President Samia Suluhu Hassan to power, has been criticized by international observers as undemocratic, while the opposition calls it a sham.
Source : Al Jazeera
 
Daah hii ndio Tanzania kwamba NIffer ni mhaini kwa lipi?
 
Back
Top Bottom