GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna mzee ni hako ka video pekee ndo wameamua wamtese gerezani
Huyo demu ni mtoto mdogo kwa maana ya kuwa, ameingia kwenye mambo flani ambayo hajui madhara yake. Ni mtu mzima, ila ni mtoto.
Tangu enzi za ghorofa la Kariakoo, alivyojibiwa vile na waziri mkuu you can tell yourself I need to lay low, they on me.
Wamsamehe, she seems innocent, ni kutokukua tu.
 
Kwaiyo baada ya kuapishwa kaamua tuishi hivi? Sawa
 
Maandamano mengine itakua ni Vita kamili watu hawajapoa unawatonesha kidonda mbona hii mbaya ameshidwa kuachia watu hawa bila masharti ngoja Tuombe
 
Ujinga umemponza. Aliyoa tangazo Kwenye social media ya kuwa anauza barakoa ambazo ziko.suitable Kwa maandamano, zinaficha uso na zinafanya usipate athari ya mabomu. Na Kwa upofu zaidi alianzisha WhatsApp group kuratibu biashara yake huku hajui ya kuwa miongoni mwan group member ambao aliwa recruit wamo watu wa idara Maalim.

Kwahiyo kuuza barakoa zinazomkinga mtu na tear gas ni uhaini?
 
Kwahiyo kuuza barakoa zinazomkinga mtu na tear gas ni uhaini?
Umeenda shule wewe? Msaada wowote ambao utautowa Katika njama za kuiangusha serikali.. Mimi umehusika moja Kwa moja na njama zile!
 
Umeenda shule wewe? Msaada wowote ambao utautowa Katika njama za kuiangusha serikali..



Mimi umehusika moja Kwa moja na njama zile!

Shule nimeenda ila sio kama hiyo shule aliyoenda Hamza Johari, maana ndio mpangaji mkuu wa huu upuuzi.

Ok unaweza kuweka hapa njama walizopanga kuangusha serikali?

Kwahiyo sio tena vijana kutoka Kenya waliojifanya bodaboda ndio walifanya mpango kuiangusha serikali?

Mwaka huu mtahaha sana maana wanaopanga vitu kama hivi akili zao ni ndogo.
 
Jeshi la polisi lime mbambikizia kesi ya uongo Niffer na heche sikuhizi unakamatwa tu bila maelezo kosa utalikuta polisi hii ni kinyume cha sheria

Heche wala niffer hawakukamatwa kwa makosa ya uhaini hii ni ubambikiaji wa kesi za uongo wazi wazi, aidha kuzuia uchaguzi au kuhamasisha mabadiliko kwa maandamano sio uhaini.
Halafu wakiongea wanarejea 4R mara kazi na UTU!
 
Hii ni mbinu ya kutoa watu kwenye mijadala ya yaliyotokea kwenye uchaguzi watu wataanza kujadili mambo ya uhaini
 
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.

Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.

Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.

====

Kutokana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Ijumaa Novemba 07.2025, Mfanyabiahara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake wamesomewa mashtaka matatu (3) ya uhaini

Kosa la kwanza linalowahusu washtakiwa wote ambapo ni kwamba kwa pamoja wamekula njama ya kutenda kosa au kupanga uhalifu ambao ni uhaini

Kosa la pili ambalo ni la uhaini linawahusu washtakiwa 21 isipokuwa mshtakiwa mmoja pekee ambaye ni Niffer, ambapo washtakiwa walianzisha nia ya kuzuia uchaguzi Mkuu 2025, na kutishia mamlaka na wakatekeleza nia hiyo kwa kufanya vurugu zilisababisha uharibifu wa mali za umma,

Na kosa la tatu la uhaini pia linamuhusu mshtakiwa namba moja pekee ambaye ni Niffer, ambapo alihamasisha watu kuvuruga uchaguzi Mkuu 2025 na kuhamasisha umma kununua barakoa za kuzuia mabomu ya machozi kutoka dukani kwake.

View attachment 3498529

View attachment 3498525View attachment 3498526View attachment 3498527
Pia soma GE2025 - Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145
Huyo Japhet majina yanajirudia 42 & 53 au kapendwa zaidi wana hasira nae sana?
 
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.

Kwa msaada wa intaneti kuhusu kutuhumiwa uhaini nchi Tanzania ilikuwa hivi :


TOKA MAKTABA 1986
Rais Ali Hassan Mwinyi awaachia huru waliokuwa kizuizini kwa tuhuma za uhaini :

President Ali Hassan Mwinyi frees 14 from detention ,

From NATION Correspondent
in Dar es Salaam, Tanzania. Sunday

Fourteen people , detained on suspicion of being implicatedin the attempted plot to
overthrow the government of the now-retired Tanzanian President Julius Nyerere three years ago, were freed yesterday.

Their freedom, announced today by the government-owned .Sunday News, followed President Ali Hassan Mwinyi's decision to resciud their detention order. According to the list, seven were armymen and five civilians. The names of the remaining two people were not given.

The freed armymen were identified as Lieutenant-Colonel M a r t i n P e t e r Msami.
Lieutenant - Colonel Martin Ngalomba, Lieutenant-Colonel Protas Bachibila Muchwampika
.

Captain Harry Hanspoppe, Captain Manyama Athumani oazukainwe, Lieutenant John Mhelwa Mzimba and Sergeant Michael Mwigulu.

The five civilians were Messrs Robert Bayona, Thadeo Boniface, Mtakyama Bugingo, Ramadhani Shabani Otto and Sulemani Nassor Seif. The remaining two names were not released.

The 14 were among scores of people detained without trial in early 1983 on suspicion that they were connected with the coup plot which the government claimed was planned to take place between June, 1982, and Jan 1983

Of the convicted for planning the coup attempt, One of them was the alleged ring leader, Mr Pius Mtakubwa Lugangira who, together with Hatty McGhee, escaped from the maximum security remand prison in June, 1984, and fled to Kenya.

Hatibu Gandhi alias Captain Hatty Macghee; others were Captain Christopher Kadego alias Chriss; Lieutenant Eugene Maganga; Captain Metusela Suleiman Kamando; Captain Vitalis Gabriel Mpunda; Captain Rodrick Roushan Roberts; Captain Dietrich Oswald Mbogoro; Captain Zacharia Hanspoppe and P3794 Lieutenant Badru Rwechungura Kajaja. Mr McGhee was subsequently returned to Tanzania in exchange for two Kenya Air Force men whowere in Tanzania as political refugees.

Last year, a well known local industrialist, Jayantlal Rajani, was released after being detained in connection with the 1983 plot. Against Mr Nyerere, AFP writes. During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine
People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.


At the time when the country was facing this economic crisis in 1982, the second, third,
fourth, fifth, sixth, seventh, eighth and ninth appellants held military commissions in the
Tanzania Peoples' Defence Forces, that is TPDF.

At the time material to this case in 1982, the second appellant was stationed in a tank unit in Dar es Salaam, whereas the third appellant was pursuing higher studies at Dar es Salaam University. He was in his final year reading for a BA degree in Political Science.

The fourth appellant was a pilot in the TPDF Airwing at Ukonga in Dar es Salaam, and so were the fifth and sixth appellants. As far as the seventh appellant is concerned, he was in the Air Defence Regiment and was in charge of Battery No 2 in Dar esSalaam; similarly, the eighth appellant was in the same regiment as Chief Engineer.

As for the ninth appellant, he happened to be stationed in a military unit at Nachingwea, but was in Dar es Salaam in December 1982. All appellants are Tanzanians by nationality.
Thereafter, during the same month of December 1982, the first appellant and the fourth
appellant visited Zanzibar on several occasions. At about this time the first appellant received a number of guests at house No 80B Drive-In.

He, and a number of friends, also used to visit a house at Kinondoni Mkwajuni, that is, house No 65--32P along Livingstone Street in Dar es Salaam, where he and his friends used to have lunch and indulge in heavy drinking. That house belonged to PW38, that is, Zahara Abdulla Sengumba, who rented it from the National Housing Corporation. She was in some way related to the first appellant.

She had agreed to allow the first appellant and his friends to have their lunch there as and when they wished. For most of the time, material to this case, the first appellant travelled in the city by taxi which he hired from PW1, that is, Abdallah Mhando. Towards the end of December 1982, the first appellant hired another taxi driven by PW45, that is, Nassor Sultan Seif, apparently because PW1 had travelled outside the country to Harare in Zimbabwe.

During this time, Pius Lugangira alias Father Tom was not sitting idly by at Motel Agip, but made a number of contacts in the city, including a visit to house No 1127 Chole Road at
Source: IFRA Press Archive
 
TOKA MAKTABA 1986
Rais Ali Hassan Mwinyi awaachia huru waliokuwa kizuizini kwa tuhuma za uhaini :

Kutoka kwa Mwandishi wa gazeti la TAIFA
jijini Dar es Salaam, Tanzania. Jumapili

Watu kumi na wanne, waliowekwa kizuizini kwa tuhuma za kuhusishwa katika jaribio la kupanga njama za
kupindua serikali ya Rais mstaafu wa Tanzania Julius Nyerere miaka mitatu iliyopita, waliachiliwa jana.

Uhuru wao, uliotangazwa leo na gazeti la serikali la lugha ya kiingereza Sunday News, ulifuatia uamuzi wa Rais Ali Hassan Mwinyi wa kutengua agizo lao la kuwekwa kizuizini. Kulingana na orodha hiyo, saba walikuwa wanajeshi na watano raia. Majina ya watu wawili waliobaki hayakutajwa.

Askari walioachiwa huru walitambuliwa kwa jina la Luteni Kanali M artin P eter Msami.
Luteni Kanali Martin Ngalomba, Luteni Kanali Protas Bachibila Muchwampika
.

Nahodha Harry Hanspoppe, Kapteni Manyama Athumani oazukanwe, Luteni John Mhelwa Mzimba na Sajenti Michael Mwigulu.

Raia hao watano ni mabwaba Robert Bayona, Thadeo Boniface, Mtakyama Bugingo, Ramadhani Shabani Otto na Sulemani Nassor Seif. Majina mawili yaliyosalia hayakutolewa.

Watu hao 14 walikuwa miongoni mwa watu wengi waliozuiliwa wanaofikia 1,000 bila kufunguliwa mashitaka mapema mwaka 1983 kwa tuhuma kwamba wanahusishwa na njama ya mapinduzi ambayo serikali ilidai yalipangwa kufanyika kati ya Juni, 1982 na Jan 1983.

Kati ya waliopatikana na hatia ya kupanga jaribio la mapinduzi, mmoja wao alikuwa kiongozi wa serikali , Pius Mtakubwa Lugangira ambaye ni mfanyabiashara mkubwa, pamoja na Hatty McGhee rubani wa ndege za ATC walitoroka gereza la ulinzi mkali la Ukonga mnamo Juni, 1984, na kukimbilia Kenya.

Hatibu Gandhi ama Kapteni Hatty Macghee; wengine walikuwa Kapteni Christopher Kadego almaarufu Chriss; Luteni Eugene Maganga; Kapteni Metusela Suleiman Kamando; Kapteni Vitalis Gabriel Mpunda; Nahodha Rodrick Roushan Roberts; Kapteni Dietrich Oswald Mbogoro; Kapteni Zacharia Hanspoppe na P3794 Luteni Badru Rwechungura Kajaja. Baadaye Bw McGhee alirejeshwa Tanzania kwa kubadilishana na wanajeshi wawili wa Jeshi la Anga la Kenya ambao walikuwa nchini Tanzania kama wakimbizi wa kisiasa.

Mwaka jana, mfanyabiashara mashuhuri tajiri wa uwekezaji / viwanda mtanzania Jayantlal Rajani , aliachiliwa baada ya kuzuiliwa kuhusiana na njama ya 1983. Dhidi ya Mwalimu Nyerere, AFP inaandika.

Wakati wa kesi ya uhaini Desemba mwaka jana kwa baadhi ya waliohusishwa na njama hiyo, Watu tisa walifungwa maisha na wengine sita waliachiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania.

Wakati wa kesi ya uhaini Desemba iliyopita kwa baadhi ya wale waliohusishwa na njama hiyo, tisa walifungwa maisha na wengine sita waliachiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania.


Wakati ambapo nchi ilikuwa inakabiliwa na mgogoro huu wa kiuchumi mwaka 1982, warufani wa pili, tatu,
nne, tano, sita, saba, nane na tisa walishikilia mahakama za kijeshi katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, TPDF yaani JWTZ.

Wakati wa kesi hii mwaka 1982, mrufani wa pili aliwekwa katika kitengo cha Vifaru (tanki ) jijini Dar es Salaam, ambapo mrufani wa tatu alikuwa akiendelea na masomo ya juu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Alikuwa katika mwaka wake wa mwisho akisoma shahada ya BA katika Sayansi ya Siasa.

Mrufani wa nne alikuwa rubani katika kamandi la Ndege la jeshi TPDF lililopo Ukonga jijini Dar es Salaam, na warufani wa tano na wa sita walikuwa hivyo.

Kwa upande wa mrufani wa saba, alikuwa katika Kikosi cha Ulinzi wa Anga na alikuwa msimamizi wa mizinga ya ulinzi wa anga Battery No 2 jijini Dar esSalaam; vile vile, mrufani wa nane alikuwa katika kikosi sawa na Mhandisi Mkuu.

Kuhusu mrufani wa tisa, aliwekwa katika kitengo cha kijeshi Nachingwea, lakini alikuwa Dar es Salaam Desemba 1982. Warufani wote ni Watanzania kwa utaifa.


Baadaye, katika mwezi uo huo wa Desemba 1982, mrufani wa kwanza na wa nne
alitembelea Zanzibar mara kadhaa. Karibu wakati huu mrufani wa kwanza alipokea idadi ya wageni katika nyumba No 80B Drive-In Mikocheni Tanesco jiji la Dar es Salaam

Yeye na marafiki zake kadhaa pia walikuwa wakitembelea nyumba moja iliyopo Kinondoni Mkwajuni, Dar es Salaam yaani nyumba Namba 65--32P Pia nyumba moja iliyopo Mtaa wa Livingstone, Kariakoo jijini Dar es Salaam, ambapo yeye na marafiki zake walikuwa wakipata chakula cha mchana na kunywa pombe kupita kiasi. Nyumba hiyo ilikuwa ya PW38, yaani, Zahara Abdulla Sengumba , ambaye aliikodisha kutoka Shirika la Nyumba la Taifa Msajili NHC. Alikuwa kwa namna fulani kuhusiana na mkata rufaa wa kwanza.

Alikuwa amekubali kuruhusu mrufani wa kwanza na marafiki zake wapate chakula chao cha mchana huko kama walivyotaka. Kwa muda mwingi, Nyaraka za ushahidi za kesi hii, mrufani wa kwanza alisafiri mjini kwa teksi ambayo aliikodi kutoka PW1, yaani, Abdallah Mhando . Kufikia mwishoni mwa Desemba 1982, mrufani wa kwanza alikodi teksi nyingine iliyokuwa ikiendeshwa na PW45, yaani, Nassor Sultan Seif , kwa sababu PW1 walikuwa wamesafiri nje ya nchi hadi Harare nchini Zimbabwe.

Wakati huo, Pius Lugangira almaarufu Padre Tom hakuwa amekaa bila kufanya kazi bali pale Motel Agip, katika ya jiji la Dar es Salaam yaani eneo la Posta alifanya uratibu na mawasiliano kadhaa jijini humo, ikiwa ni pamoja na kutembelea nyumba namba 1127 Chole Road iliyopo Oysterbay (Masaki) jijini Dar es Salaam
Chanzo: IFRA Press Archive
 
Mkuu Niffer alihamasisha hayo kwenye magroup yao ya whatsapp watu wakaruka na screenshot kwa Mafwele. Ni zaidi ya yale uliyoyaona kwa TV! Namuonea huruma sana huyu msichana pengine kwaajili ya umri ndo maana!!!!
Acha usenge
 
Wavu wa kuvua kutoka Kizimkazi (Purge) / kamatakamata kukumba pia viongozi wa CCM, Vyombo na serikali ndani ya siku chache zijazo kutokana na hofu kuu ya utawala uliojilazimisha Ikulu

TOKA MAKTABA :

​

Majaribio ya Usafishaji / purge yaliyoanzishwa na Joseph Stalin katikati ya miaka ya 1930 yaliashiria kipindi muhimu cha ukandamizaji wa kisiasa katika Umoja wa Kisovieti, kufuatia mauaji ya Sergey Kirov, kiongozi mashuhuri wa Kikomunisti.

Tukio hili lilimpa Stalin kisingizio cha kuwaondoa wapinzani wake wa kisiasa na kuimarisha mamlaka yake, sawa na enzi za ugaidi za viongozi wa awali wa Urusi.

Usafishaji / purge huo ulianza mnamo Desemba 1934, kwa hatua zilizolengwa dhidi ya maadui wanaoonekana ndani ya Chama cha Kikomunisti, wakiwemo washirika wa zamani wa Leon Trotsky, ambaye alikuwa amefukuzwa.

Kadiri uondoaji huo ulivyoongezeka, maelfu ya wanachama wa chama, viongozi wa kijeshi, na raia wa kawaida walikamatwa, mara nyingi kwa msingi wa tuhuma za kutokuwa waaminifu au madai ya "kuvunja" malengo ya serikali. NKVD, polisi wa siri, walichukua jukumu muhimu katika utakaso huu, wakitumia mateso na kulazimishwa kuhusisha wengine.

Athari hiyo ilikuwa kubwa, na kusababisha kuvunjika kwa uaminifu miongoni mwa raia na kulemaza ufanisi wa serikali na jeshi. Hali ya kijamii ya hofu ilizuia ubunifu na upinzani, kwani wasomi na wasanii walikabiliwa na vikwazo vikali kwenye kazi zao. Hatimaye, Usafishaji Mkuu haukuondoa tu wapinzani wa kisiasa wa Stalin lakini pia ulianzisha utamaduni wa utawala wa mtu mmoja na ibada ya utu karibu na Stalin ambayo ingeunda siasa za Soviet kwa miaka ijayo. Urithi wa kipindi hiki ulibakia kuwa na utata, na matokeo yake kamili yalikaguliwa tena baada ya kifo cha Stalin mnamo 1953.
Iliyochapishwa mnamo: 2023
Na: Huch, Ronald K.
 
Tukio hili lilimpa Stalin kisingizio cha kuwaondoa wapinzani wake wa kisiasa na kuimarisha mamlaka yake, sawa na enzi za ugaidi za viongozi wa awali wa Urusi.

Usafishaji / purge huo ulianza mnamo Desemba 1934, kwa hatua zilizolengwa dhidi ya maadui wanaoonekana ndani ya Chama cha Kikomunisti, wakiwemo washirika wa zamani wa Leon Trotsky, ambaye alikuwa amefukuzwa.
Dawati la Historia

Having come to power in October 1917 by means of a coup d'état, Vladimir Lenin and the Bolsheviks spent the next few years struggling to maintain their rule against widespread popular opposition. They had overthrown the provisional democratic government and were inherently hostile to any form of popular participation in politics. In the name of the revolutionary cause, they employed ruthless methods to suppress real or perceived political enemies. The small, elite group of Bolshevik revolutionaries which formed the core of the newly established Communist Party dictatorship ruled by decree, enforced with terror.

This tradition of tight centralization, with decision-making concentrated at the highest party levels, reached new dimensions under Joseph Stalin. As many of these archival documents show, there was little input from below. The party elite determined the goals of the state and the means of achieving them in almost complete isolation from the people. They believed that the interests of the individual were to be sacrificed to those of the state, which was advancing a sacred social task. Stalin's “revolution from above” sought to build socialism by means of forced collectivization and industrialization, programs that entailed tremendous human suffering and loss of life.

Although this tragic episode in Soviet history at least had some economic purpose, the police terror inflicted upon the party and the population in the 1930s, in which millions of innocent people perished, had no rationale beyond assuring Stalin's absolute dominance. By the time the Great Terror ended, Stalin had subjected all aspects of Soviet society to strict party-state control, not tolerating even the slightest expression of local initiative, let alone political unorthodoxy. The Stalinist leadership felt especially threatened by the intelligentsia, whose creative efforts were thwarted through the strictest censorship; by religious groups, who were persecuted and driven underground; and by non-Russian nationalities, many of whom were deported en masse to Siberia during World War II because Stalin questioned their loyalty.

Although Stalin's successors also persecuted writers and dissidents, they used police terror more sparingly to coerce the population, and they sought to gain some popular support by relaxing political controls and introducing economic incentives. Nonetheless, strict centralization continued and eventually led to the economic decline, inefficiency, and apathy that characterized the 1970s and 1980s, and contributed to the Chernobyl' nuclear disaster. Mikhail Gorbachev's program of perestroika was a reaction to this situation, but its success was limited by his reluctance to abolish the bastions of Soviet power—the party, the police, and the centralized economic system—until he was forced to do so after the attempted coup in August 1991. By that time, however, it was too late to hold either the Communist leadership or the Soviet Union together. After seventy-four years of existence, the Soviet system crumbled.
Soma kwa kina: Toka maktaba ya Baraza la Congress la USA
Source : https://www.loc.gov/exhibits/archives/intn.html
 
Back
Top Bottom