Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,288
- 9,062
Inasemekana wamechomana kwenye WhatsApp group. Kulikuwa na watu wa serikalini.Hivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana
Hii nimeiona instagram, inasemekana walikuwa wanamtrace.