Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 822
Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.
Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.
Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli
Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.
Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.
Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.
Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.