Askofu Bagonza nakusali katika jina la yesu.
Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na yesu.
hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanao onyesha furaha yao kwa mh. Rais john p. Magufurl
chuki ni ugonjwa mbaya sana askofu bagonza.
katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA askofu.
kwanini nasema una chuki ,
nakuwa nafuatilia hotuba zako, waraka,matamshi nakila tendo lako kuhusu seeikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
mifano michache ni hii.
covid-19 , ukiwa kama kiongozi wakiroho, hukupaswa kufunga kanisa nakutoa natamko uliyotoa, ila imani yako na ya rais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi nadunia yte ikajifunza kutoka Tanzania.
jambo jingine nihili la lugora, mifano yte uliyoitoa niyakupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutum lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe,
tunamuona mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni mungu.
lugola anamfananisha Rais magufuli na yesu kupitia matendo anayo yafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu,
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NIMTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme daudi kwako.