Mtu anayekukosoa hakuchukii. Anataka kukusaidia ili ujirekebishe . Ila ukweli ni kwamba binadamu wengi huwa hatupendi kukosolewa na hasa tunapokuwa tumefikia ngazi ya juu kidogo ya mafanikio. Tunapenda watu watusifie tu. Kitu ambacho si kizuri katika maisha.Shida yake ni CHUKI maana hata yeye siyo mungu, yy lugola imani yake na macho yke ndo yameperekea kutamka hivyo.
Hata km yeye aliona kosa kwa lugola, basi akiwa km mtumishi wa mungu, alipaswa aonye kwa kukirimu, kwa kufundisha, kwa upendo, nk
Nabando alitakiwa ajue juzi kati kwenye covid-19 imani yake na imani ya magufuri nihakika imani ya magufuri ilithibitishwa kuwa ni imani yakweli.
Jana ligi imepigwa hakuna barakoa nahajafa mtu! Hata yeye hajafa ila chuki itamuondoa askofu huyu asipobadirika.
Wewe ndiye wakala wa shetani muuaji mkubwa nyie ndiyo wasiojulikana halafu mkisha ua mnachukua biblia na kujificha, pumba..fu kabisa wewe BABA ASKOFU BAGONZA mtu wa hasira?Ujumbe muhimu! Anayeweza kuhukumu ni MUNGU siyo Bagonza wala mimi.
Tatizo la Askofu Bagonza nichuki.
Huyu askofu akisikia magufuri anasifiwa kifua chake kinanuka dam ya chukiiii ana umia saaana akisikia jpm akisifiwa.
Mwambieni asome Isaya 8:20
Mwambieni asome kisa cha vipofu waliomsindikiza yesu akiingia yerusalemu na walichofanya mafarisayo najibu la yesu.
Wanaosifu wanajua sababu ya kusifu
Wana mfananisha na yesu wanajua sababu wao.
Yeye bagonza na kundi lake la chuki kinawauma nini?
Sialifunga kanisa?
Mbona kalifungua?
Korona iliisha?
Ilimalizwa na dawa gani?
Mwambieni chuki itamuua mzee huyu, avumilie mungu atende mambo yke kupitia kwetu binadam.
Mwana CCM umeona u-balance kimtindo.Binafsi sikubaliani na Bagonza kama ambavyo sikubaliani na Kangi.
Wote wako gizani tu.
Wakati mwingine tusiwaze mambo kisiasa, tucheki facts. Kwa mfano mada tajwa inapaswa ijadiliwe kiroho na sio kisiasa.Mwana CCM umeona u-balance kimtindo.
Unachanganya maneno kwa makusudi au? Magufuli unaandika Magufuri! Maendeleo, maendereo. Israel unasema islaeri, vipi bwana.Wewe unamjua mungu? Bagonza anamjua mungu? Hata mimi simjui.
Tunamjua mungu kupitia matendo yake, kupitia watu, kupitia imani!
Imani ya lugola siyo ya bagonza na genge lake.
Kila mtu anaimani yake kwa mungu!
Bagonza sialifunga kanisa?
Alipofungua alitumia imani ya nani? Imani yke siilimtuma kufunga kanisa?
Mungu anatumia watu.
Hata musa alitumiwa na mungu kuwatoa islael misri.
Kwani mungu hawezi kumtumia magufuri kuiponya nchi?
Mungu hawezi kumtumia magufuri nchi kupata maendereo?
Tulizeni mshono mh rais km anasifiwa wanaosifu ndio wanaojua.
Zaidi yahapo nichuki.
Acheni kumfananisha Mussa nabii mkubwa sana wa Mungu..na hawa wanasiasa wenu.Mwambie huyo mchungaji atuambie, nikwanini wana wa israel walimlilia mussa badara ya mungu?
Nikwanini leo hata yy huyo mchungaji anaomba kwa kutaja MUNGU WA ibrahim MUNGU WA isack , MUNGU wa yakobo nk.
Isaya 8:20 nawaenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili ! Kwa hao hapana asubuhi.
Huyu mchungaji anachukua fungu anatoa kipande cha fungu anajenga hoja yake! Hilo fungu kule mwisho linasema mimi bwana siyo sanam.
Sanam nikitu ambacho hakina uhai,
Kweli wachungaji waleo ni mbwembwe.
Nyie watu bana....Magufuli.kapigwa vita na nani hasa??Mnamjengea hofu mzee wa watu kuwa anapigwa vita wakati watu wengine wanaendelea na mambo yao..Mkuu.
Haya hayana budi kutokea! Watu wanawazuia watu kupaza saiti za kusifu kwa sababu ya chuki.
Wanasahau hata yesu aliwaambia....
Mkiwazuia hawa!! Hata mawe yatapiga kelele.
Nawatu cjui kwa nini hawajifunzi.
Magufuri ndani ya miaka mitano, kapigwa vita sana, vita vya ndani na vita vya nje! Lakini hajashindwa vita,
Vita vyote jamaa anashinda! Hii yte nikwasababu jamaa anamtegemea mungu.
Watashindana nawe lakini hawatashinda kwa maana mimi Bwana niko pamoja nawe kukuokoa.
Mungu aendelee kumpa Ujasiri wa kunena Neno lake.
Hivi thiologia ulisomea wapi?au ndo wale kasoma udaktari alafu kazi mhasibu?Kila mtu ana sehemu amebobea kuliko mwingine tuache unafiki!!!!![emoji41][emoji41][emoji41]Tatizo ni ushabiki, Lugola hajasema magufuri ni YESU , lugola kasema mambo unayoyafanya ni kama yesu.
Hata yesu alisema tufanane naye, tuwe km yeye, ndio maana nikauliza.
Mbona farao aliagiza watu wamwabudu mungu wa daniel? Baada ya lile jalibio lakuwachoma moto kufery?
Hivi thiologia ulisomea wapi?au ndo wale kasoma udaktari alafu kazi mhasibu?Kila mtu ana sehemu amebobea kuliko mwingine tuache unafiki!!!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Siku Covid 19 ikifanya ya huko Bujumbura mje pia kutuambia dunia ilivyojifunza kwa rais wenuAskofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.
Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.
Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli
Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.
Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.
Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.
Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Mkuu kasome upya bibiliaMwambie huyo mchungaji atuambie, nikwanini wana wa israel walimlilia mussa badara ya mungu?
Nikwanini leo hata yy huyo mchungaji anaomba kwa kutaja MUNGU WA ibrahim MUNGU WA isack , MUNGU wa yakobo nk.
Isaya 8:20 nawaenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili ! Kwa hao hapana asubuhi.
Huyu mchungaji anachukua fungu anatoa kipande cha fungu anajenga hoja yake! Hilo fungu kule mwisho linasema mimi bwana siyo sanam.
Sanam nikitu ambacho hakina uhai,
Kweli wachungaji waleo ni mbwembwe.
Anae sema usihukumu nae anahukumu.. Usiyatumie maneno ya Mungu juu juu hivyo..Ujumbe muhimu! Anayeweza kuhukumu ni MUNGU siyo Bagonza wala mimi.
Tatizo la Askofu Bagonza nichuki.
Huyu askofu akisikia magufuri anasifiwa kifua chake kinanuka dam ya chukiiii ana umia saaana akisikia jpm akisifiwa.
Mwambieni asome Isaya 8:20
Mwambieni asome kisa cha vipofu waliomsindikiza yesu akiingia yerusalemu na walichofanya mafarisayo najibu la yesu.
Wanaosifu wanajua sababu ya kusifu
Wana mfananisha na yesu wanajua sababu wao.
Yeye bagonza na kundi lake la chuki kinawauma nini?
Sialifunga kanisa?
Mbona kalifungua?
Korona iliisha?
Ilimalizwa na dawa gani?
Mwambieni chuki itamuua mzee huyu, avumilie mungu atende mambo yke kupitia kwetu binadam.
Naona baada ya kumalizana Na Askofu Munga mmehamia kwa BagonzaAskofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.