Huu uzi uliwekwa baada ya kusoma ujumbe wa anayeitwa Dr Rev. Bagonza.
Waraka uliodaiwa ni wa askofu Bagonza nautakuwa wakwake maana hajaukana! Ulianza kwa kumponda sana mh. K.lugola
Lakini kwa undani lengo halikuwa Lugola, ila alitumia km uchochoro kuonyesha chuki au wivu au uchoyo wa fadhira, baada ya lugola kumsifia na kumfananisha JPM rais wetu na YESU.
Lakini hakuishia hapo askofu bagonza alileta mifano ovu kabisa , akimaanisha kauli yalugola inaweza leta machafuko nchini hili lilikuwa zaidi ya uchochezi kwa mtu km yy mwenye ushawishi ktk jamii.
Baada yakuusoma na kutafakari niligundua huyu mzee ana chuki na mh. Rais tena kali sana.
Ndio nikaja na ushauri, pamoja na onyo kwake, hasa baada yakuzingatia kuwa anapenda kutoa matamko, waraka, na maamuzi yakuonekana kupinga kabisa utawala wa awam ya5
Nikajaribu kuhoji toka kwake au kwa wanao mtetea maswali haya japo sijapata majibu mpaka mda huu.
Nilisema kabla ya kuhoji kuwa?
Dini ni imani, hakuna alomuona Mungu hata yy Bagonza km siyo kila mwenye imani anamuona Mungu kwa... Imani, matendo, na miujiza.
Nikasema kila mtu anaimani yake, ndio maana hata yy Bagonza wakati wa covid-19? Alifunga kanisa!!
Kipindi cha nyuma.. Mungu aliwahi kuitwa Mungu wa Yakobo,Ibrahim , Daniel meshack na Abednego na Mungu wa Eliya.
Kwani leo mtu akisema Mungu wa magufuri magufuri atatukanwa km alivyofanya Bagonza?
Kwani leo Mungu hawezi kuonekana kupitia matendo ya binadam wenzetu nawatu wakasema tumeuona mkono wa Bwana? Au tatizo ni magufuri?
Baba askofu km anavyoitwa nayeye hajakataa kuitwa hivyo nilihitaji ufafanuzi wa hayo kutoka kwake au kundi linalomtetea pamoja nakujibiwa maswali haya.
Je.. kama ameona kosa magufuri kufananishwa na yesu, Je! Yeye nihalali kuitwa BABA Askofu?
Wakati biblia inakataza kumuita mtu baba kiimani ikasema baba yenu ni mmoja yupo mbinguni?
Je.. yeye nihalali kumuita PAPA kuwa ni Mtakatifu, naanafundisha watu papa ni Baba mtakatifu wakati biblia yke inasema hakuna mtakatifu duniani watakatifu wapo mbinguni? Waliopo duniani anayewajua ni mungu?
Je hajui km kila mamraka hutoka kwa mungu?
Hajui km hakuna Rais anaetembea akifuatwa nawatu wenye shida na anawasaidia km cyo magufuri? Ni rais nani ktk awam zte nchi hii alikuwa hivyo?
Nimalize kwa kusema kila mtu anaimani yake, na mungu anaweza kuponya taifa kupitia hata mtu mmoja, kwahiyo lugola hakuwa nakosa , sababu ameamini hivyo baada ya yy kuona.
Hata yy Bagonza alifungua kanisa kupitia imani na maombi ambayo Rais magufuri alitusihi tuombe! Yawezekana yy hakuomba au aliombea taifa mabaya .
Ila mshindi alionekana ni JPM
Jana Rigi kuu ya vodacom imeanza, tunafaidi matunda ya imani ya watanzania pamoja na kiongozi wtu mkuu rais jp magufuri.
Nasihi tusichangie kwa chuki , wivu, husuda nk. Bagonza na kundi lake niwakusaidiwa.