Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

Muulize huyo mchungaji MUNGU wa Eliya niyupi, MUNGU wa yakobo, wa isack na MUNGU wa henocker

MUNGU wa Daniel, meshack na aberdinego, kwahiyo biblia nayo ilikufuru kuandika hivyo!

Hawa wachungaji kz yao nikonyofoa kipande kwenye fungu nakuongeza volume ya sauti kwisha.

Hilo fungu halina maana hiyo, maana huo siyo unabii kwamba kunahitaji tafsiri, kule mwisho limesema kwa maana mimi BWANA siyo sanam.
Mkuu, unalenga kutetea nini hasa? Unamsaliti mwana wa Adam kea kipande cha mkate? Pia huhasema vema kuwa askofu "atakufa kifo cha maumivu." Tubu kwa hilo mkuu.
 
Chuki ni mbaya sana, nihatari mtu kufa akilalamika huwa nikifo kibaya sana, km hana basi haitakuwa hvyo.
Ila yy na mungu ndo wanajua maana sisi tunaona matendo yke askofu ila anaeona moyoni ni yy na Mungu
 
Ujumbe muhimu! Anayeweza kuhukumu ni MUNGU siyo Bagonza wala mimi.
Tatizo la Askofu Bagonza nichuki.
Huyu askofu akisikia magufuri anasifiwa kifua chake kinanuka dam ya chukiiii ana umia saaana akisikia jpm akisifiwa.

Mwambieni asome Isaya 8:20
Mwambieni asome kisa cha vipofu waliomsindikiza yesu akiingia yerusalemu na walichofanya mafarisayo najibu la yesu.

Wanaosifu wanajua sababu ya kusifu
Wana mfananisha na yesu wanajua sababu wao.

Yeye bagonza na kundi lake la chuki kinawauma nini?
Sialifunga kanisa?
Mbona kalifungua?
Korona iliisha?
Ilimalizwa na dawa gani?

Mwambieni chuki itamuua mzee huyu, avumilie mungu atende mambo yke kupitia kwetu binadam.
Wasio na chuki hawafi kabisa. Mimi sina chuki.
 
Ni DHAMBI KUBWA na LAANA kumfananisha Binadamu na MUNGU
 
Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.

Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.

Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.

Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli

Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.

Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.

Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.

Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.

Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.

Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.

ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.

Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Hovyo kabisa wewe
 
Toa upumbavu wako humu watumie dm kijani wenzako huu ugoro
 
Kwani kuna ubaya gani mtu kusema anacho kiwaza? Unataka aamini unacho amini wewe? Embu muwe mnawaza basi kwanza.
 
Leo mmewasikia WHO wamerejea kwa Rais magufuri kuhusu lockdown

Wameshauri watu waachwe wawe huru, maana ukiwafungia km alivyoshauli Bagonza na kundi lake kunamatatizo makubwa.

Huoni kuwa bagonza anazidi kujiaibisha?

Kesho tunasubiri kwa ham nondo za jpm akifunga bunge.
 
Lugola ana matatizo Atamfananishaje Magufuri na Yeah😂😂😂
 
F

Bagonza atawateteaje wazee wa faru john? Wanyanyasaji wa kingono?

Mtu anadharirisha mke wake wa ndoa kwa kutembea na vimada , akilewa na kuvunjika mguu harafu anasingizia serikari?
 
Ujumbe muhimu! Anayeweza kuhukumu ni MUNGU siyo Bagonza wala mimi.
Tatizo la Askofu Bagonza nichuki.
Huyu askofu akisikia magufuri anasifiwa kifua chake kinanuka dam ya chukiiii ana umia saaana akisikia jpm akisifiwa.

Mwambieni asome Isaya 8:20
Mwambieni asome kisa cha vipofu waliomsindikiza yesu akiingia yerusalemu na walichofanya mafarisayo najibu la yesu.

Wanaosifu wanajua sababu ya kusifu
Wana mfananisha na yesu wanajua sababu wao.

Yeye bagonza na kundi lake la chuki kinawauma nini?
Sialifunga kanisa?
Mbona kalifungua?
Korona iliisha?
Ilimalizwa na dawa gani?

Mwambieni chuki itamuua mzee huyu, avumilie mungu atende mambo yke kupitia kwetu binadam.

Sikiliza hii utaelewa
 
No
F

Bagonza atawateteaje wazee wa faru john? Wanyanyasaji wa kingono?

Mtu anadharirisha mke wake wa ndoa kwa kutembea na vimada , akilewa na kuvunjika mguu harafu anasingizia serikari?
Ni kweli Ni Udhaifu .
Lakini linapokuja suala la kumzungumzia Binadamu kwamba Ni Kama Yesu
Ni Udhaifu Zaidi
 
Muulize huyo mchungaji MUNGU wa Eliya niyupi, MUNGU wa yakobo, wa isack na MUNGU wa henocker

MUNGU wa Daniel, meshack na aberdinego, kwahiyo biblia nayo ilikufuru kuandika hivyo!

Hawa wachungaji kz yao nikonyofoa kipande kwenye fungu nakuongeza volume ya sauti kwisha.

Hilo fungu halina maana hiyo, maana huo siyo unabii kwamba kunahitaji tafsiri, kule mwisho limesema kwa maana mimi BWANA siyo sanam.
Nani alikuwa mwalimu wako wa Biblia?
Just curious
 
Mbuzi wa bwana Heri na shamba ni la bwana Heri, basi yote ni heri.
 
Chuki ni mbaya sana, nihatari mtu kufa akilalamika huwa nikifo kibaya sana, km hana basi haitakuwa hvyo.
Ila yy na mungu ndo wanajua maana sisi tunaona matendo yke askofu ila anaeona moyoni ni yy na Mungu
Kumbe matendo ndio yamemweka kuwa sawa na Yesu?
 
Soma gazeti la Tanzania daima la leo, moja ya magazeti anayoyatumia askofu bagonza lilivyoweka habari hii ukurasa wa mbele kabisa.

Maasikofu walionukuliwa ndio hao genge la bagonza.
 
Back
Top Bottom