Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

Hapo mwisho kwenye herufi kubwa umeboronga sana
Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.

Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.

Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.

Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli

Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.

Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.

Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.

Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.

Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.

Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.

ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.

Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
 
Mwambie huyo mchungaji atuambie, nikwanini wana wa israel walimlilia mussa badara ya mungu?

Nikwanini leo hata yy huyo mchungaji anaomba kwa kutaja MUNGU WA ibrahim MUNGU WA isack , MUNGU wa yakobo nk.
Isaya 8:20 nawaenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili ! Kwa hao hapana asubuhi.

Huyu mchungaji anachukua fungu anatoa kipande cha fungu anajenga hoja yake! Hilo fungu kule mwisho linasema mimi bwana siyo sanam.

Sanam nikitu ambacho hakina uhai,
Kweli wachungaji waleo ni mbwembwe.
Asikuumize kichwa huyo. Ni kamanda wa Sacco's ya Mbowe kwa joho la uaskofu.
Huyo hana tafauti na akina Kijo Bisimba.
 
Kuna mtu anasema kwenye hosp za mikoa kunawagonjwa! Pole sana mkuu.
Mmesema sana uongo na mtaenderea kusema km hivi unavyosema.

Kifupi nikutaarifu kuwa ligi kuu ya vodacom imeanza jana yanga, mwadui, namungo, costal, mbao natim zingine zimecheza.

Leo simba na ruvuna timu zingine zinacheza

Nawabunge wa chadema wapo bungeni labda mzee wa faru john mdo anauguza.

Hizo karantini za wagonjwa wa corona labda za wapinga nchi.

Corona ipo.
Chukua tahadhari chapa kazi.
 
Sijasoma post yako mpaka mwisho ila wewe ni miongoni mwa wale wapambania tumbo wanaosifia pumba toka kwa viongozi wao ili wapate mlo wa siku....... JITAMBUE
 
Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.

Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.

Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.

Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli

Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.

Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.

Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.

Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.

Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.

Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.

ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.

Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Achana na huu upuuzi wako ewe kibwengu
 
Tena wew kibwengu tungekua nchi ambayo ipo sereous na iman usingekua huu upuuzi tatizo ni kwamba kuanzia viongozi wa umma mpaka dini wamejaa tunguli tu.....Akina bagonza ni wachache sn kwenye hii nchi waliowengi ni vibwengu km ww
 
Shida yake ni CHUKI maana hata yeye siyo mungu, yy lugola imani yake na macho yke ndo yameperekea kutamka hivyo.

Hata km yeye aliona kosa kwa lugola, basi akiwa km mtumishi wa mungu, alipaswa aonye kwa kukirimu, kwa kufundisha, kwa upendo, nk

Nabando alitakiwa ajue juzi kati kwenye covid-19 imani yake na imani ya magufuri nihakika imani ya magufuri ilithibitishwa kuwa ni imani yakweli.

Jana ligi imepigwa hakuna barakoa nahajafa mtu! Hata yeye hajafa ila chuki itamuondoa askofu huyu asipobadirika.
Inaonesha na ww una chuki kwa Bagonza unajua hata maandishi yako hapa yanaonesha una hasira sana. Nawe pia Tubu hasa unapoandika r penye l
 
Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.

Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.

Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.

Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli

Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.

Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.

Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.

Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.

Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.

Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.

ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.

Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Kwa nini mtu akiwa na maoni tofauti moja kwa moja mnakuwa wepesi wa kuona ana chuki?

Hamuelewi kwamba kuna watu wanaweza kuwa na tofauti za kifalsafa, kisiasa, kimtizamo, kidini, bila ya kuwa na chuki?

What is this smallminded nonsense that relates any dissenting position to hate?
 
Tena wew kibwengu tungekua nchi ambayo ipo sereous na iman usingekua huu upuuzi tatizo ni kwamba kuanzia viongozi wa umma mpaka dini wamejaa tunguli tu.....Akina bagonza ni wachache sn kwenye hii nchi waliowengi ni vibwengu km ww

Bagonza alitangaza kufunga kanisa kisa covid-19 .

Huyu huyu aliyekuja kulifungua juzi kati hapa.

Mwambie chuki niugonjwa mbaya sana na hauna dawa! Atulie km yupo kwa kinyozi .

Tunajua lengo lake alitaka wakristo tumuunge mkono kupitia hoja ya lugola japo shida yke haikuwa lugola.

Shida yake nikukaa anaomba usiku kucha mh Rais asifanikiwe namaombi yake hayajibiwi wala kusikizwa
Kwahiyo hakati tamaa!

Mwambieni ajiunge na siasa akapambane kisiasa. Mambo ya imani kila mtu anaimani yake.
 
Inaonesha na ww una chuki kwa Bagonza unajua hata maandishi yako hapa yanaonesha una hasira sana. Nawe pia Tubu hasa unapoandika r penye l

Nani hawajui? Nyie vibaraka wa mabeberu msiokuwa na malipo.

Mkikoswa hoja mnaanza kutafta miandiko! Sipo kwenye mthihani wa kuandika .

Hamjaanza leo kukoswa majibu nakukimbilia rafudhi za watu.
 
Kumbeee nilijua unampa ushauri kama muumini wa kawaida kumbe upo kivyama zaidi?? mm nimeona ww una chuki na hasira pia. Watu wengi hata ccm yako au mimi nisiye na chama hatujapendezwa na kauli ya huyo mjomba ako kangi.
 
Bagonza alitangaza kufunga kanisa kisa covid-19 .

Huyu huyu aliyekuja kulifungua juzi kati hapa.

Mwambie chuki niugonjwa mbaya sana na hauna dawa! Atulie km yupo kwa kinyozi .

Tunajua lengo lake alitaka wakristo tumuunge mkono kupitia hoja ya lugola japo shida yke haikuwa lugola.

Shida yake nikukaa anaomba usiku kucha mh Rais asifanikiwe namaombi yake hayajibiwi wala kusikizwa
Kwahiyo hakati tamaa!

Mwambieni ajiunge na siasa akapambane kisiasa. Mambo ya imani kila mtu anaimani yake.
Endeleeni na ma2nguri achana na mtumishi imara wa mungu ewe kibwengu
 
Kwa nini mtu akiwa na maoni tofauti moja kwa moja mnakuwa wepesi wa kuona ana chuki?

Hamuelewi kwamba kuna watu wanaweza kuwa na tofauti za kifalsafa, kisiasa, kimtizamo, kidini, bila ya kuwa na chuki?

What is this smallminded nonsense that relates any dissenting position to hate?
Ingekuwa tofauti za kifalsafa, kidini, kisiasa na kimtazamo asingeleta mifano ya watu waliochoma moto kuruhani au waliokojolea misahafu pamoja na mifano aliyoiweka hapo.

Angejua hizo ni tofauti za kiimani km yeye alivyoamini kufunga kanisa kwa kuogopa corona huku akiwahubiri watu kumtegemea mungu wakati wa shida.

Naangejua kuwa kunatofauti km hizo asingemtolea povu lugola kisa kumfananisha magufuri na yesu!

Naangelijua hilo BAGONZA basi angetuongoza wakristo hasa wakanisa lake kutomuita PAPA kuwa ni BABA MTAKATIFU maana biblia yake inasema hakuna baba duniani baba yenu ni mmoja tu aliyeko mbinguni! Na hakuna mtakatifu duniani mtakatifu na watakatifu wako mbinguni.

Kinachomuongoza Bagonza ni CHUKI JUU YA RAIS JPM.
 
Ya
Kumbeee nilijua unampa ushauri kama muumini wa kawaida kumbe upo kivyama zaidi?? mm nimeona ww una chuki na hasira pia. Watu wengi hata ccm yako au mimi nisiye na chama hatujapendezwa na kauli ya huyo mjomba ako kangi.
YANi imekuathiri nini?
 
Kojoa kalale ng'ombe wewe......acha mtumishi wa Mungu aendelee kuonya hao mbwa wako unaowalamba makalio
 
M
Sijasoma post yako mpaka mwisho ila wewe ni miongoni mwa wale wapambania tumbo wanaosifia pumba toka kwa viongozi wao ili wapate mlo wa siku....... JITAMBUE
Magufuri hajawahi kushindwa vita, maana anamtumainia mungu!

Nyie mnapambana na mungu bila kujitambua! Tunawapa maonyo muache. Mwacheni afanye kazi zake nchi hamuwezi kuiangusha nyie kikundi cha watu wachache.
 
Sasa mimi na waambia! Mfikishieni ujumbe huu! Mimi sio nabii wala mchungaji, mimi ni mchunga ng'ombe tu.

MWAMBIENI BAGONZA AACHE CHUKI HARAKA! ASIPO ACHA ATAPATA MALIPO YA KILE ANACHOKITUMIKIA.

Kama ni chuki aache ili apate uzee mwema.

Kama anatumwa awaambie wanaomtuma Imetosha.

Asipoacha yupo yeye yule yule jana na leo anaewasimamisha wafalme na kuwaangusha
Atakuwa na asubuhi mbaya haraka na mapema mwaka huu huu hautaisha.
 
Back
Top Bottom