Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 822
Tutolee utopolo wako hapa ... .. wewe unasifia, yeye kaona kukosoa aliyoyaona shida iko wapi..!?
Katika kipindi hiki kumekua na wimbi kubwa la viongozi wa dini ambao hutoa matamshi yanayo nufaisha itikadi zao za kisiasa.Askofu Bagonza nakusali katika jina la yesu.
Nimesoma jumbe jf ukimlaumu Mh. Kangi lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na yesu.
hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanao onyesha furaha yao kwa mh. Rais john p. Magufurl
chuki ni ugonjwa mbaya sana askofu bagonza.
katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA askofu.
kwanini nasema una chuki ,
nakuwa nafuatilia hotuba zako, waraka,matamshi nakila tendo lako kuhusu seeikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
mifano michache ni hii.
covid-19 , ukiwa kama kiongozi wakiroho, hukupaswa kufunga kanisa nakutoa natamko uliyotoa, ila imani yako na ya rais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi nadunia yte ikajifunza kutoka Tanzania.
jambo jingine nihili la lugora, mifano yte uliyoitoa niyakupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutum lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe,
tunamuona mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni mungu.
lugola anamfananisha Rais magufuli na yesu kupitia matendo anayo yafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu,
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NIMTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme daudi kwako.
Katika kipindi hiki kumekua na wimbi kubwa la viongozi wa dini ambao hutoa matamshi yanayo nufaisha itikadi zao za kisiasa.
Baadhi yao huenda mbali zaidi na kuwaambia waumini wao wachague chama flani cha siasi wakidai hilo ndio chaguo la Mungu!
WaTz tunapaswa kutumia akili zetu vyema ili kuepuka haya magenge ya wahubiri.
Mkuu,habari za Gwajima unazo?
Soma maandiko na uyaelewe. Kukaa ndani ya Yesu haimaanishi kuwa na wewe unakuwa Yesu. Alisema kaeni ndani yangu nami ndani yenu, ombeni lolote mtakalo nanyi mtapewa. Lakini wapi unaona wanfunzi wake wakijifananisha naye? Acheni ujinga, mnampotosha mzee wa watu kwa kumpa sifa ambazi hata hazimuongezei umri. Naamini kuna siku atakuja kuwageukia na mtashangaa sana.☹️☹️☹️Askofu Bagonza nakusali katika jina la yesu.
Nimesoma jumbe jf ukimlaumu Mh. Kangi lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na yesu.
hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanao onyesha furaha yao kwa mh. Rais john p. Magufurl
chuki ni ugonjwa mbaya sana askofu bagonza.
katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA askofu.
kwanini nasema una chuki ,
nakuwa nafuatilia hotuba zako, waraka,matamshi nakila tendo lako kuhusu seeikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
mifano michache ni hii.
covid-19 , ukiwa kama kiongozi wakiroho, hukupaswa kufunga kanisa nakutoa natamko uliyotoa, ila imani yako na ya rais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi nadunia yte ikajifunza kutoka Tanzania.
jambo jingine nihili la lugora, mifano yte uliyoitoa niyakupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutum lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe,
tunamuona mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni mungu.
lugola anamfananisha Rais magufuli na yesu kupitia matendo anayo yafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu,
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NIMTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme daudi kwako.
Nadhani Kangi anatumia njia ndefu, ili kupata ufanano mzuri, Kangi amshauri JPM abebeshwe msalaba, asulubiwe, afe na siku ya tatu afufuke. Akiweza hili basi tuungane na Kangi katika hoja yake.Askofu Bagonza nakusali katika jina la yesu.
Nimesoma jumbe jf ukimlaumu Mh. Kangi lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na yesu.
hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanao onyesha furaha yao kwa mh. Rais john p. Magufurl
chuki ni ugonjwa mbaya sana askofu bagonza.
katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA askofu.
kwanini nasema una chuki ,
nakuwa nafuatilia hotuba zako, waraka,matamshi nakila tendo lako kuhusu seeikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
mifano michache ni hii.
covid-19 , ukiwa kama kiongozi wakiroho, hukupaswa kufunga kanisa nakutoa natamko uliyotoa, ila imani yako na ya rais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi nadunia yte ikajifunza kutoka Tanzania.
jambo jingine nihili la lugora, mifano yte uliyoitoa niyakupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutum lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe,
tunamuona mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni mungu.
lugola anamfananisha Rais magufuli na yesu kupitia matendo anayo yafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu,
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NIMTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme daudi kwako.
Hapa umemaliza mjadala.
Lugola kausha basiTatizo ni ushabiki, Lugola hajasema magufuri ni YESU , lugola kasema mambo unayoyafanya ni kama yesu.
Hata yesu alisema tufanane naye, tuwe km yeye, ndio maana nikauliza.
Mbona farao aliagiza watu wamwabudu mungu wa daniel? Baada ya lile jalibio lakuwachoma moto kufery?
Watapata taabu sanaLugola kausha basi
Mungu alikuwa anaongea na wana wa israel kupitia Musa wao walikuwa hawamjui Mungu ndo maana walimlilia na kumlalamikia maana ndo aliwatoa utumwaniMwambie huyo mchungaji atuambie, nikwanini wana wa israel walimlilia mussa badara ya mungu?
Nikwanini leo hata yy huyo mchungaji anaomba kwa kutaja MUNGU WA ibrahim MUNGU WA isack , MUNGU wa yakobo nk.
Isaya 8:20 nawaenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili ! Kwa hao hapana asubuhi.
Huyu mchungaji anachukua fungu anatoa kipande cha fungu anajenga hoja yake! Hilo fungu kule mwisho linasema mimi bwana siyo sanam.
Sanam nikitu ambacho hakina uhai,
Kweli wachungaji waleo ni mbwembwe.