Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

Mkuu, unalenga kutetea nini hasa? Unamsaliti mwana wa Adam kea kipande cha mkate? Pia huhasema vema kuwa askofu "atakufa kifo cha maumivu." Tubu kwa hilo mkuu.
 
Mkuu, unalenga kutetea nini hasa? Unamsaliti mwana wa Adam kea kipande cha mkate? Pia huhasema vema kuwa askofu "atakufa kifo cha maumivu." Tubu kwa hilo mkuu.
Chuki ni mbaya sana, nihatari mtu kufa akilalamika huwa nikifo kibaya sana, km hana basi haitakuwa hvyo.
Ila yy na mungu ndo wanajua maana sisi tunaona matendo yke askofu ila anaeona moyoni ni yy na Mungu
 
Wasio na chuki hawafi kabisa. Mimi sina chuki.
 
Ni DHAMBI KUBWA na LAANA kumfananisha Binadamu na MUNGU
 
Hovyo kabisa wewe
 
Toa upumbavu wako humu watumie dm kijani wenzako huu ugoro
 
Kwani kuna ubaya gani mtu kusema anacho kiwaza? Unataka aamini unacho amini wewe? Embu muwe mnawaza basi kwanza.
 
Leo mmewasikia WHO wamerejea kwa Rais magufuri kuhusu lockdown

Wameshauri watu waachwe wawe huru, maana ukiwafungia km alivyoshauli Bagonza na kundi lake kunamatatizo makubwa.

Huoni kuwa bagonza anazidi kujiaibisha?

Kesho tunasubiri kwa ham nondo za jpm akifunga bunge.
 
Lugola ana matatizo Atamfananishaje Magufuri na Yeah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
F
Lugola ana matatizo Atamfananishaje Magufuri na Yeah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Bagonza atawateteaje wazee wa faru john? Wanyanyasaji wa kingono?

Mtu anadharirisha mke wake wa ndoa kwa kutembea na vimada , akilewa na kuvunjika mguu harafu anasingizia serikari?
 

Sikiliza hii utaelewa
 
No
F

Bagonza atawateteaje wazee wa faru john? Wanyanyasaji wa kingono?

Mtu anadharirisha mke wake wa ndoa kwa kutembea na vimada , akilewa na kuvunjika mguu harafu anasingizia serikari?
Ni kweli Ni Udhaifu .
Lakini linapokuja suala la kumzungumzia Binadamu kwamba Ni Kama Yesu
Ni Udhaifu Zaidi
 
Nani alikuwa mwalimu wako wa Biblia?
Just curious
 
Mbuzi wa bwana Heri na shamba ni la bwana Heri, basi yote ni heri.
 
Chuki ni mbaya sana, nihatari mtu kufa akilalamika huwa nikifo kibaya sana, km hana basi haitakuwa hvyo.
Ila yy na mungu ndo wanajua maana sisi tunaona matendo yke askofu ila anaeona moyoni ni yy na Mungu
Kumbe matendo ndio yamemweka kuwa sawa na Yesu?
 
Soma gazeti la Tanzania daima la leo, moja ya magazeti anayoyatumia askofu bagonza lilivyoweka habari hii ukurasa wa mbele kabisa.

Maasikofu walionukuliwa ndio hao genge la bagonza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ