Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Watazidi tu kumkandamiza. Aende zake nje ya nchi huko hapo watamuua wenye dini yao waafrika😃Kabisa. Hakuweza kukata Rufaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watazidi tu kumkandamiza. Aende zake nje ya nchi huko hapo watamuua wenye dini yao waafrika😃Kabisa. Hakuweza kukata Rufaa?
Na uarabuniAtafute ukimbizi tu Ulaya, Canada au Marekani.
Kwa mantiki hiyo wamemtoa huko ili wajekumhukumu kwa ule Utaratibu wa "Sisi tunayo Sheria, na kwa Sheria hiyo Imempasa kufa"Inategemea huyo Mungu alipomtukana alimtukana akiwa ktk content zilizotokana na dini gani,kama alitumia content za ile dini ya wenyewe kumtukana ajue na atambue yeye ni maiti inayotembea muda wowote kichwa wanabeba
Ila kama ni wale wengine wa shavu hili geuza na hili hata akienda kumtukana tena leo hakuna wa kumgusa.
Huyu jamaa alikuwa muislamu, akaacha imani akawa atheists
Naam; kwa maana amemkufuru mungu. Mkate kichwa, mkate kichwa, mkate kichwa!Kwa mantiki hiyo wamemtoa huko ili wajekumhukumu kwa ule Utaratibu wa "Sisi tunayo Sheria, na kwa Sheria hiyo Imempasa kufa"
Kweli ni maiti inayotembea.
Aendelee kukaa jelaMwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020.
Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.
Aprili 2022, alihukumiwa kifungo cha miaka 24 gerezani baada ya kukiri makosa 18, ikiwa ni pamoja na kukufuru na uchochezi.
Hata hivyo jana Januari 7, 2025, aliachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani. Baada ya kuachiliwa amesema usalama wake bado uko hatarini kutokana na vitisho.
"Wasiwasi kuhusu usalama wangu upo kila wakati," aliambia BBC katika mahojiano yake.
Mwanaume huyo kwa sasa anaishi katika nyumba ya hifadhi, huku mawakili wake wakidai maisha yake yako hatarini ikiwa atarejea kuishi katika jamii.
View attachment 3195842
Kama ndo hivyo; mbona tena wamamwachia huru baada ya kutumikia miaka 4 badala ya hiyo stahiki yake miaka 24? Hapo kuna harufu ya "jambo linasukwa" ili fursa ipatikane na Itumike ile Sharia ya kwenye kile kitabu inayotaka apigwe mawe hadi kufa.Naona watu povu linawatoka humu wakati mtukanaji mwenyewe ALISHAKIRI MAKOSA YOTE NA NDIPO AKAPEWA STAHILI YAKKE
Mke wake anasema kabisa waislamu walikuwa wanajadili namna ya kumuua kwenye magroup ya facebookInategemea huyo Mungu alipomtukana alimtukana akiwa ktk content zilizotokana na dini gani,kama alitumia content za ile dini ya wenyewe kumtukana ajue na atambue yeye ni maiti inayotembea muda wowote kichwa wanabeba
Ila kama ni wale wengine wa shavu hili geuza na hili hata akienda kumtukana tena leo hakuna wa kumgusa.
kuna mashirika mengi ya wazungu yalipaza sauti nasikiaKama ndo hivyo; mbona tena wamamwachia huru baada ya kutumikia miaka 4 badala ya hiyo stahiki yake miaka 24? Hapo kuna harufu ya "jambo linasukwa" ili fursa ipatikane na Itumike ile Sharia ya kwenye kile kitabu inayotaka apigwe mawe hadi kufa.
Kwani hapo mahakamani mawakili wake hawakuomba upande wa mashitaka wamlete mungu athibitishe uwepo wake? Hao ni waislamu tu na si vingineKilichomsibu huyo mwanaume ni DINI na wala sio eti alimtukana Mungu.
Mungu hajawahi kuhitaji watu wa kumtetea au kumsemea. Mbona hatujamsikia Mungu akilalamika katukanwa? Watu wanajipa Uwakili kwa Mungu i.e. Mungu ni mteja wao.
Hapana ndugu,Kama ndo hivyo; mbona tena wamamwachia huru baada ya kutumikia miaka 4 badala ya hiyo stahiki yake miaka 24? Hapo kuna harufu ya "jambo linasukwa" ili fursa ipatikane na Itumike ile Sharia ya kwenye kile kitabu inayotaka apigwe mawe hadi kufa.
Ni sawa. Mwisho ndo utakaoweka mambo bayana.Hapana ndugu,
Kuna rufaa na mambo mengine mimi na wewe hatujui kwahiyo tusidhani wala kubuni
Mungu yupi? Mungu aletwe mahakamani aje ajitetee kuwa ametukanwa
Hata nami nakubaliana na ww. Naam; wamlete mungu athibitishe matusi alotukanwa.Kwani hapo mahakamani mawakili wake hawakuomba upande wa mashitaka wamlete mungu athibitishe uwepo wake? Hao ni waislamu tu na si vingine