Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Si wakristo hatuwezi funga mtu eti katukana mungu sijawahi sikia hao ni wa upande wa pili kitabu chao kime amuru hata kuua.Hata nami nakubaliana na ww. Naam; wamlete mungu athibitishe matusi alotukanwa.