Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

wewe uliyekuwa nje ya gereza miaka minne umeingiza mkwanja kiasi gani
 
Kilichomsibu huyo mwanaume ni DINI na wala sio eti alimtukana Mungu.
Mungu hajawahi kuhitaji watu wa kumtetea au kumsemea. Mbona hatujamsikia Mungu akilalamika katukanwa? Watu wanajipa Uwakili kwa Mungu i.e. Mungu ni mteja wao.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Imagine
 
Walimfunga Kwa Ajili ya nini?
Eti kamtukana Mungu ๐Ÿ˜†

Dunia Una mambo ya ajabu Sana yaani kutukanwa atukanwe Mungu , Mungu mwenyewe Wala hajaonyesha kukasirika wala kuhitaji msaada wa kusaidiwa kumuwajibisha Huyo mtu baada ya yeye kutukanwa lakini binaadamu wamechukua jukumu la Mungu aliye Tukanwa na kumu wajibisha Huyo mtu


Hizi dini ni uchizi ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ What a foolish !!
 
Maisha kuwa hatarini ageuze iwe fursa aombe hifadhi kama asylum seeker akaishi mbele kwa mbele mamtoni.
Wazingu wanawajua wa Nigeria utapeli wao kuwa alifanya hivyo kwa kus8di.apate hifadhi ndio.maana walikauka kimya hadi akafungwa jela
 
Nigeria kuna Wakristo imani imani kali pia wanaamini huo mstari wa kusema kuwa mtu akikupiga shavu hili.mgeuzie hili.kuwa unamaanisha akikupiga mfano ngumi.shavu la kushoto na wewe mgeuzie kwa kumtandika ngumi shavu lake la kulia
Hata kwa Wakristo ajiandae pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ