Nchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, ndio wenyeji wazungu hawataki ila kuna vyama vya siasa huwalinda na kuwahamashisha waje kwa wingi kuzijaza nchi zao
Na uzuri ni kwamba nchi nyingi za ulaya kama ufaransa na uingereza ni rahisi kupata uraia hata kama umeingia kinyume na sheria.
Kwa sasa uingereza na ufaransa, ujerumani, n.k kuna makanisa yamebadilishwa kuwa misikiti na pia kuna mitaa kwajili ya waislam tu (wakristo hawatakiwi kuishi).
Katika suala la uzazi hapa ndipo penyewe, Wazungu wengi wanazaa mtoto 1 tu, wengine hwapendi watoto na wengine huoana jinsia sawa.
Kwa upande wa waislamu wanazaliana sana na kuingiliana hata na wazungu.
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "copmpunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu
Wakiwa wengi ni uhakika kwa kiasi kikubwa nchi nyingi za ulaya zitakuwa na viongozi wengi wenye dini ya kiislam na kuuingiza uislamu kwenye sheria