Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Such analysis wwe ni fundi duuh alafu ndio uwe mkali wa mjegejwa maamake tobo toboaInategemea na aina ya divorce na ilikuaje yeye ameumiza au ameumizwa, alitoa talaka kwa hiari au kwa lazima, aliacha akiwa anapenda au vipi
Kama aliachwa basi jiandae kudeal na kisirani chake, kama aliumizwa basi jitahidi usiwe sababu ya kumkumbushia machungu ya alikotoka na pia usimpe sababu ya kuona wanawake wote sawa,
Ikiwa ametoka kwenye ndoa ambayo mke ndo likua kivuruge basi kwa asilimia 💯 kuna vitu amevikosa na amevimiss, treat him well, mdekeze kama mtoto trust me utaenjoy sana 😋😋
Wanawake wengi wanaojitambua wameachana na dogodogoTafuta dogo dogo
SureWanawake wengi wanaojitambua wameachana na dogodogo
Jamaa kaua kila kituSuch analysis wwe ni fundi duuh alafu ndio uwe mkali wa mjegejwa maamake tobo toboa
Umekoshwa balaaAhsantee [emoji2772]
Una uzoefu mbaya sana katika mahusianoYaani ni pasua kichwa Hao.ujue nini ynakuwa na hamu ya ndoa mwenzako Ametoka hataki hata kuisikia tena Sema papuchi yako anaitaka.yaani utateseka hatare.bora alofiwa na mke.at least yeye ndoa alikuwa anaitaka Sema tu mapenzi ya Mungu' huyu unaweza muenjoy kidogo
Wanaume divorced halafu awe broke hata umpende vipi hailipi.used used tu yaani
Nakazia ✍️✍️Mprouve wrong bkuwa wanawake hampo Kama mwanamke Alie achana nae, mpe muda wako pale anapo kuhitaji, atapenda muwe karibu lkn usimbane bane ashindwe kujiachia , fanya kinyume na yule Alie pita kwa mabaya yake na fanya zaidi ya mazuri yake.
Usiwe na pupa kuwa mpole tu maana wakati unamfanyia hayo nae ni binadamu anaakili hivyo ataanza kukuchunguza na kupata maoni kutoka kwa wadau wake mbali mbali juu yako akipewa go ahead unawekwa ndani na kubwa kuliko Kama anawatoto wapende Sana ikiwezekana hata kushinda yeye hapa my dear lazima usajiliwe faster kwa kupitia mlango wa nyuma.
Na pale atakapo kukera usinyamaze muite umwambie taratibu kuwa amekukwaza au amekuumiza hii itakufanya usionekane mnafki.
Aisee sijui kwa nn natoa mbinu za kumteka mwanaume mwenzangu...... Nimecomenti but I hate this [emoji21][emoji21][emoji21]
Kazi ndogo tu😅Such analysis wwe ni fundi duuh alafu ndio uwe mkali wa mjegejwa maamake tobo toboa
Basi huyo mwepesi mtoe uwoga tu na make sure hufanyi makosa ya mkewe utaenjoy ila isije kuwa we ndo umempenda sana mwenzako hana timeAsante, ni kweli mahusano yake yaliyopita alikuwa na mke mtata, ia waliachana kwa makubaliano so haikuwa ngumu kukamilisha taratibu zote za kanisa na kisheria, ila nachoona ni kama bado ana uwoga wa kuzama mazima kwa mahusiano mapya ilihali ni zaidi ya miaka mi4 tanu waachane,
Dawa ni kumtreat well eee nadhani na kuwa patient labda, ntajitahidi maana nshampenda [emoji16]
Divorced men are bitter! achana na huyo used goods tafuta mwingine...Sina mtoto na umri wangu ni late 20’s
Hii kitaalamu Kwenye Kilimo tunaita BUSH FALLOWING.... Unalima sehemu ya shamba Kwa miaka kadhaaa unaliacha unaenda kulima lingine huku kipande Cha zamani ulichoacha ukikipa nafasi kitengeneze rutuba ...wewe ni shamba jipya usiwe na wasiwasi huyo ni mkulima Bora anafata KANUNI za Kilimo na shamba lako likiishiwa rutuba anaenda shamba lingine na hiyo ndio BUSH FALLOWING.🤣🤣🤣🤣🤣Hello wana jf, nimetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vp maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,
Au pia kama kuna wanaume mliodivorce humu mnaweza share experince ya nini mnategemea kutoka kwa new spouses, mnataka ,muwe treated vp?
Sina nyongeza ntaharibuInategemea na aina ya divorce na ilikuaje yeye ameumiza au ameumizwa, alitoa talaka kwa hiari au kwa lazima, aliacha akiwa anapenda au vipi
Kama aliachwa basi jiandae kudeal na kisirani chake, kama aliumizwa basi jitahidi usiwe sababu ya kumkumbushia machungu ya alikotoka na pia usimpe sababu ya kuona wanawake wote sawa,
Ikiwa ametoka kwenye ndoa ambayo mke ndo likua kivuruge basi kwa asilimia [emoji817] kuna vitu amevikosa na amevimiss, treat him well, mdekeze kama mtoto trust me utaenjoy sana [emoji39][emoji39]
Hajakupenda bidada. Mwanaume anayekupenda hana visingizio endelea kuwa naye kama kujitolea tu ila usiweke asilimia kuwa ni wako. Halafu usitumie nguvu nyingi kumbadilisha anaweza kuwa sawa na chaguo lake likawa sio wewe. Ishi naye kawaida usi fake tabia kuwa wewe tu halafu acha mambo yajiset yenyewe.
Hii kitaalamu Kwenye Kilimo tunaita BUSH FALLOWING.... Unalima sehemu ya shamba Kwa miaka kadhaaa unaliacha unaenda kulima lingine huku kipande Cha zamani ulichoacha ukikipa nafasi kitengeneze rutuba ...wewe ni shamba jipya usiwe na wasiwasi huyo ni mkulima Bora anafata KANUNI za Kilimo na shamba lako likiishiwa rutuba anaenda shamba lingine na hiyo ndio BUSH FALLOWING.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]